Shaa Auto Parts and General Supplies

Shaa Auto Parts and General Supplies We are operating from Arusha,Tanzania. Our sales team comprise of highly skilled staff with good back ground in automotive industry. Management structure.

Shaa Auto Parts Corporation was established in 2017 as a private entity for supply of automotive spare parts and servicing to ample variety of brands and makes in Tanzania. The team is dedicated to maintaining professionalism in service delivery and as such, it has attracted and promoted customers’ trust. In the time being, the company serves the customers in supply of automotive spare parts for d

ifferent brands and makes. We are opening other services that will encompass;

• Automotive Servicing for all types of mechanical repair, body & paint maintenance;
• Engineering and Construction and;
• Supply of food stuff and medical supplies. Our prices and supplies are very competitive for Toyota, Land Rover, Nissan, Mitsubishi and machines to cater both retail and wholesale customers. We are dedicated to a free consultancy service to our esteemed customers when they are not sure of the quality and best fitting part of their vehicles through our sales department. Our operation base is located in the following address:
Head office:
Address: Plot No.12 Block Arusha - Northern Tanzania. Tel. +255 684092770; + 255 756 966 931
E-mail: [email protected]
Contact person: Mr. Geoffrey Simon- Marketing Director


Spare Parts Warehouse and Sales Office
Address: Mto wa Mbu Arusha
Telephone: +255 684 092 770; +255 756 966 931; +255 629 138 429
E-mail: [email protected]
Web: ttps://shaaspareparts.wixsite.com/online

2.0 Our Clientele
We are hereby considering both private and public organizations and individuals to be our customers and are the most valuable assets of the Corporation.

3.0 Mission and Vision Statement

• Vision
Leading supplier of automotive spare parts in the market and offering the world-class automotive services for maximum customer satisfaction and sustainable growth .

• Mission
To catch both attention of and attain customers with world-class products and services.

4.0 CORE VALUES
Safety; our main concern is on safety of our clients;
Value; we are supplying world-class products at competitive price;
Integrity; not only for the laws of the nation but for also we are holders of Heavenly Kingdom Agenda,

We work together as a team with mutual respect, honesty and hard work which is the foundation of our success. We adhere to high ethical standards with the aims in mind of doing the right thing at the right time and the right place.

5.0. Organizational Structure
Our strong organizational structure is the backbone for our continued growth and success. At the Head office, the Chief executive officer (CEO) is responsible for the approval of all purchases and major company programs. The general manager is responsible for the overall management of the entire operation, support and oversees the project at all levels for each business unit. The department or branch managers are responsible for the day to day operational activities such as bidding, clientele management, maintenance & supply and Logistical operations. Chief Executive Officer
General Manager
Finance Manager
Spare Parts Manager
Workshop Manager
HR and Administration Manager
Marketing Manager

2022 ni mwaka mzuri sana kila spea ya gari ndogo, lorry na pikipiki aina zote tumewaletea
22/03/2022

2022 ni mwaka mzuri sana kila spea ya gari ndogo, lorry na pikipiki aina zote tumewaletea

Ukiwa na nia ya kusababisha injini ya guta/pikipiki yako kudumu basi utatumia oil hiiKaribuni Shaa Auto Parts and Genera...
18/12/2020

Ukiwa na nia ya kusababisha injini ya guta/pikipiki yako kudumu basi utatumia oil hii
Karibuni Shaa Auto Parts and General Supplies --Arusha

Tutakuwa wazi Jumatatu hadi Jumamosi saa 12:00 Asubuhi hadi 1:30 Usiku. Tafadhali wasilisha oda yako mapema kupitia 0684...
04/10/2020

Tutakuwa wazi Jumatatu hadi Jumamosi saa 12:00 Asubuhi hadi 1:30 Usiku. Tafadhali wasilisha oda yako mapema kupitia 0684092770....Taa mkia za kisasa kabisa

KWA NINI SPEA ZINAANDIKWA/KUITWA  OEM, GENUINE, AFTER MARKET e.t.cUnapoagiza OEM- SPARE (Original equipment manufacturer...
02/10/2020

KWA NINI SPEA ZINAANDIKWA/KUITWA OEM, GENUINE, AFTER MARKET e.t.c

Unapoagiza OEM- SPARE (Original equipment manufacturer) Hizi ni aina ya vipuri vinavyo tengenezwa na kiwanda cha gari husika au kiwanda kingine kwa maelekezo ya kiwanda kilichounda chombo chako. Aina hii ya spea unaweza tambua kwa kuona nembo ya kifaa husika ikiwa ya mtengeneza gari/pikipiki/mashine. Mfano, spea inaweza andikwa DENSO lakini ni ya TOYOTA, hapa lazima na nembo ya TOYOTA iwekwe.

OEM ni spea yenye ubora sana kwa kuwa inatengenezwa chini ya maelekezo ya kiwanda cha chombo chako lakini hii si Genuine. Utaona wauzaji wanasema nauza Genuine Parts lkn anakupaimeandikwa DENSO.

Spea Genuine- ni ile tu inayotolewa na aiyetengeza gari/pikipiki au mtambo wako. K**a ni Oil Filter ya Toyota Land cruiser basi iwe imetengenezwa na Kiwanda cha TOYOTA.

Aftermarket-Spea zinazotengenzwa na kiwanda chochote hata vingune bila maelekezo ya mtengenezaji wa gari husika. Hizi ndio maarufu zaidi kwa wauzaji wengi na huwa takribani k**a halisia na huwa za bei mbalimbali. Wakati genuine inauzwa TZS.900,000/- hizi waweza zipata kwa TZS. 120,000/-. Huwa na bei na ubora mbalimbali

Aftermarket ni spea nzuri k**a utagundua ubora wake maana watengenezaji hutengeneza kwa kutatua matatizo ya OEM au Genuine

KARIBU SHAA AUTO PARTS AND GENERAL SUPPLIES tukuhudumie baada ya kukushauri 0684092770

Alama za utambuzi wa oil Bora kwa Mazingira Unayotumia gari yako.BAADHI YA ALAMA za mfano ni SAE na 5W-40Oil kuandikwa S...
01/10/2020

Alama za utambuzi wa oil Bora kwa Mazingira Unayotumia gari yako.

BAADHI YA ALAMA za mfano ni SAE na 5W-40

Oil kuandikwa SAE inaonesha ni kiwango cha Ubora kinachotambuliwa na Umoja wa Mainjinia wa Vyombo vya Moto ( Society of Automotive Engineers). Hawa hutathimini ubora wa oil katika nyanja mbalimbali ikiwemo uzito wa oil (viciousness) na uwezo wa kufanya kazi kutokana na hali ya hewa yamaeneo unayotumia chombo chako. Je, uko kwenye mazingira ya baridi k**a Mbeya au Makete au Joto sana K**a Dodoma,Ruaha ,Singida na DSM ?

ALAMA ya W hii huonesha uwezo wa oil kufanya kazi kwenye eneo la baridi (W=Winter). 5W inamaana ni namna/speed ya oil yako inavyoweza kuzunguka katika injini yako kukiwa na baridi (kipindi cha Winter) au unapoiwasha gari yako au pikipiki.

Namba zinazo ambatana nazo mfano 40 hii kiujumla huonesha speed ya oil kuzunguka ikiwa katika joto linalopimwa kwa nyuzi 100 kutumia Viscometer. Kwamba, k**a namba inakuwa kubwa inamaanisha oil hiyo ikipata joto la nyuzi 100 huwa bado nzito/imeshik**ana na inaspeed ndogo ya kuzunguka/kupita.

Ikiwa oil yako imepewa namba ndogo mfano badala ya kuwa 5W-40 ni 5W-30 inamaanisha oil yako inakuwa nyepesi na inatembea haraka kwenye injini pindi injini yako inapofikia joto lake la juu. Kurahisisha kueleweka ni kwamba ukiamka asubuhi hasa mikoa ya baridi unapokuwa na oil inayoanza na W inamaanisha ni sahihi na kwamba ukiwasha gari yako oil inauwezo wa kwenda kila eneo linaohitajika bila kusubiri gari ipate moto ndo utie gear.

Oil haitakiwi kuwa nyepesi sana wakati gari linapokuwa katika joto a kujiendesha ili ifanye kazi nzuri ya kupambana na joto kuliko ile inayopita speed kwenye injini ya moto. Namba kubwa inamaanisha uzito wake na namba ndogo inaonesha wepesi wake kuzunguka. Kwa magari mengi ya kisasa yanapendekezwa kutumia oil ambayo ni synthesized yenye uzito. Pamoja na sababu nyingine baadhi ya magari hushika moto na kuangamiza abiria kutokana na makosa ya uchaguzi wa oil.

Oil yenye SAE namba ndogo sana inamaanisha haiwezi kulainisha vyema injini kwani huwa na speed ikipata joto. Huacha vyuma vikiwa havina oil ya kutosha kuto jisaga. Pia, haifanyi vyema kutawanya joto la injini yako na huweza waka na kusababisha moto kwa baadhi ya magari

Unapotumia oil ambayo imeandikwa tu mfano SAE 50 inamaana haijatengenezwa kutumika maeneo ya baridi.

ZAMA ZA KUWASHA GARI KUSUBIRI MASAA KADHAA KABLA YA SAFARI ZIMEPITWA NA WAKATI.

Tutakushauri ubora wa oil kulingana na gari lako muhimu tizamana kijitabu cha mwongozo kwa gari lako kuwa salama

Karibu Shaa Autoparts piga au whats app 0684092770
Image may contain: drink, text that says "PREMIUM Automatic Multi Vehicle Transmission 100% Synthetic Fluid ATフルード uid MITASU Japan ミタス quality.

SHAA AUTO PARTS STORES AT MTO WA MBU -ARUSHA 0684092770
01/10/2020

SHAA AUTO PARTS STORES AT MTO WA MBU -ARUSHA 0684092770

01/10/2020
Kwa nini Shaa Auto Parts and General Supplies wanasambaza Monograde Endine Oil na Multigrade Engine Oils?NENO GRADE inal...
01/10/2020

Kwa nini Shaa Auto Parts and General Supplies wanasambaza Monograde Endine Oil na Multigrade Engine Oils?

NENO GRADE inalenga jotoridi la aina fulani laweza kuwa la juu au la chini tu lkn maalum kwa oil hiyo kufanya kazi vzr .

Ukiona oil imeandikwa MONOGRADE ENGINE OIL hizi ni aina za oil zinazofanya kazi vizuri katika joto fulani tu. inategemeana na kipimo lakini yaweza kuwa oil ya wakati wa Baridi tu au wakati wa Joto tu. Mathalan Monograde ni k**a SAE30,40 hizi ni za injini zinazofanya kazi mazingira ya joto kali tu. Jotoridi hili hasa hutizamwa la injini yenyewe na pia hususani mazingira wakati injini inaendeshwa lazima yawe ya joto k**a vile dodoma na maeneo mengine yenye joto la kuchoma/kali. Ikumbukwe gari hupozwa na mazingira ya nje pia lakini oil hizi zinafaa kwa engine ziwapo za moto mkali na unaendelsha maeneo ya jua kali au joto kali na hivyo hazifai kwa mazingira ya Mbeya au Nyanda za Juu Kusini msimu wa baridi.

Oil hizi zinaandaliwa kwa kuweka viasili vinavyo tunza usafi na ulinzi kwa kutu. Nyyingine zimewekwa kwa 2 stroke injini au mashine mbalimbali.

Ukiona imeandikwa MULTIGRADE ENGINE OIL
Aina hiyo ya oil imejumuisha teknolojia ya kisasa kwa matokeo makubwa ya injini yako yenye kumudu injini inayofanya kazi katika mazingiza ya aina yoyote joto au baridi hii hutoa matokeo mazuri.

Vicscocity/ hali ya kimiminika hiki huwa hakibadiliki wakati joto likiwa ninabadilika kutokana na viasii vya kisasa vinavyowekwa. Hufaa kwa injini za turbo na malori, mitambo au mashine kubwa.
SIFA KUBWA : huboresha matumizi ya mafuta na kuimarisha injini misimu yote na si rahisi kusababisha kupoteza nguvu betri hasa unapoiwasha mathalani unapoamka asubuhi ikiwa imeoa kabisa na joto likisoma mbali na 0.

Shaa Autoparts wanajikita kukusaidia kutunza gari lako ama pikipiki yako. Monograde unona mfano imeandikwa SAE 140 ( kwa ajili ya Joto kali/kubwa tu) na Multigrade 20W-40 /5W-40 n.k.

Address

12
Mto Wa Mbu
255

Opening Hours

Monday 06:00 - 19:30
Tuesday 06:00 - 17:00
Wednesday 06:00 - 17:00
Thursday 06:00 - 19:30
Friday 06:00 - 17:00
Saturday 06:00 - 19:30

Telephone

+255756966931

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shaa Auto Parts and General Supplies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Shaa Auto Parts and General Supplies:

Share