Expert Trading Tz

Expert Trading Tz Wauzaji wa vifaa vya umeme, ujenzi na kilimo. tunatambulika kwa kusambaza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu
kwa bei nafuu

01/06/2026

Chauff cutter.. 0788373743

20/05/2026
20/04/2026

⚡ *JAPAN POWER GENERATOR YA DIESEL 6.5KV YENYE REMOTE*⚡

UBORA WA JUU, NGUVU YA KUTEGEMEWA

Kwa wanaotaka uhakika, uimara na teknolojia ya kisasa — hii ndiyo chaguo sahihi.

✨ Sifa Kuu:
• Push Start Button – Kuwasha kirahisi bila usumbufu
• Remote Control – Iwasha ukiwa mbali
• Single Phase & 3 Phase Output – Inafaa matumizi mbalimbali kuanzia 220v hadi 380v
• Oil Sensor (Pilot Lamp) – Inalinda engine dhidi ya uharibifu unaotokana na oil chafu na oil ambayo haistahiki.
• Diesel Engine – Matumizi madogo, nguvu kubwa kwa kazi nzito

⛏️ Inafaa kwa:
• Migodini
• Sites za ujenzi
• Workshop na viwandani
• Nyumbani na biashara

📍 Expert Trading Tz
📞 0788 373 743
📌 Boma Road, Morogoro

💼 Chaguo la kitaalamu. Imejengwa kwa kazi nzito.
🚨 Stock ni chache – wahi sasa!

13/04/2026

Mashine yakuoshea magari inayotumia GAS unapata kwa Expert Trading Tz pekeee 0788373743
Bei hutegemeana na makampuni

08/04/2026

Seed planter ni Kifaa cha kupandia mbegu za aina ya mahindi, maharage, karanga, mpunga, alizeti n.k
Tunazo za kupandia mbegu pekee na tunazo ambazo zina uwezo wa kuwekea na mbolea

Karibu
Expert Trading Tz
0788373743

01/04/2026

Water pump inayotumia gas

24/03/2026

*⚡ALTERNATOR YA UMEME YA NGUVU NA UHAKIKA! ⚡*

Unahitaji kuzalisha umeme kwa diesel engine yako?
Sasa imepatikana Electric Alternator imara yenye uwezo mkubwa wa kazi nzito!

✅ Inafaa kuunganishwa na Diesel Engine
✅ Inazalisha umeme thabiti na wa kuaminika
✅ Imetengenezwa kwajili ya umeme mkubwa na matumizi ya muda mrefu

Inapatikana kwa ukubwa tofauti:

*⚡ 7.5 KV
*⚡ 10 KV
*⚡ 15 KV
*⚡ 20 KV
*⚡ 30 KV

Inafaa kwa matumizi ya:

🔸 Migodini
🔸 Viwandani
🔸 Mashambani
🔸 Biashara mbalimbali

Chaguo sahihi kwa wanaohitaji ufanisi wa kuzalisha umeme!

📍 Expert Trading TZ
Boma Road, Morogoro

📞 *0788373743*

Mikoani tunatuma kwa usalama na kwa uaminifu

Address

Boma Road
Morogoro
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:30
Tuesday 08:00 - 17:30
Wednesday 08:00 - 17:30
Thursday 08:00 - 17:30
Friday 08:00 - 17:30
Saturday 08:00 - 17:30
Sunday 08:00 - 13:00

Telephone

+255788373743

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Expert Trading Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category