Unabii Katika Biblia Unaopatikan Daniel Na Ufunuo

Unabii Katika Biblia Unaopatikan Daniel Na Ufunuo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Unabii Katika Biblia Unaopatikan Daniel Na Ufunuo, Building Material Store, SLP. 273, Lushoto.

Dunia inakaribia mwisho yaliyonenwa katika maandiko kupitia Daniel na ufunuo wa Paulo unabii unazungumza habari ya siku hizo karibu tujifunze zaidi usichelewe....

22/11/2025

God of Heaven Love You Much
Happy Sabbath Day

28/05/2023

Mungu ni mwema kila wakati

Vijana tuamkeni
22/06/2022

Vijana tuamkeni

Happy Sabbath
18/06/2022

Happy Sabbath

04/06/2022

Happy Sabbath Day

11/01/2022

*Chapa ni mafundisho ya Rumi na Sheria
*Chapa hii haitiwi kwenye paji la Uso au mkononi bali nikuyafuate mafundisho ya mnyama (roma )
-Ufunuo 13:17
-Ufunuo16 :13
*Hesabu ya mnyama ni 666 inamaanisha (VICARIUS FILIIDEI)
*Namb hii ni jumla ya Roho tatu 3 za UCHAFU(ufunuo16:13)
-Joka -Shetani.
-Mnyama - Papa. Na
-Nabii wa Uongo - Kanisa la Romani Catholic..
*Usiogop kutangaza iliyo kweli ya Mungu naana hakunÄ atakaye kuzuru hatakama watateketeza mwili bali Roho itaishi

11/01/2022

CHAPA YA MNYAMA 666
(Ufunuo-13:16)
Watu wengi tumekua na dhana hii kua chapa ya mnyama ambayo imetajwa katika Ufunuo 13 ni chap ambayo itabandikwa usoni au mkononi wala sio hivyo bali nikupokea mafundisho na Sheria ya mnyama(Rumi au Roma).
Kutakua hakuna kuuza wala kanunua chochote kwa wale walio kataa kufuata mafundisho ya mnyama hivyo chapa hii ina hesabu yake (VICARIUS FILIIDEI 666).
Hesabu hii tutaitazama kwa wakati mwingine maa

10/01/2022

Address

SLP. 273
Lushoto

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Unabii Katika Biblia Unaopatikan Daniel Na Ufunuo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Unabii Katika Biblia Unaopatikan Daniel Na Ufunuo:

Share