Vitu Kutoka Germany

Vitu Kutoka Germany TUNAUZA BIDHAA FROM GERMANY NA THE UK . HIVI VITU NI ORIGINAL SANA. LOCATION .... KINONDONI NA PUGU KAJIUNGENI

06/06/2026

Haya magodoro hujawahi ona.

Mazuri na original.

Ni Used from BIRMINGHAM 🇬🇧

🤙 0717575635 :0769070711

DELIVERY 🚚 YES
MIKOANI TUNATUMA 🚍

05/06/2026

Kahawa hapa MASAKI ☕

Hapa Wako na Kahawa nzuri.

Nalizimika kuja mara nyingi hapa.

Original kahawa.

01/06/2026

Wako watu hawataki MCHINA kabisa.

Wanakuja kununua USED kutoka GERMANY 🇩🇪

Kule GERMANY vitu vyao ni dunia ya kwanza.

Bei 👉 kuanzia 580,000 mpaka laki 8.

☎️ 0717575635 /0769070711

DELIVERY 🚚 YES
MIKOANI TUNATUMA 🚍

31/05/2026

Embu imagine unakunywa kahawa ☕ huku unaangalia Best VIEW.

Ni hapa UPARENI.

Hapa MWANGA.

31/05/2026

Tunazo PORTABLE AC KALI from MUNICH, GERMANY 🇩🇪

 

PRICE 👉 Tsh 380,000 na Tsh450,000 

PORTABLE AC haiwekwi maji wala barafu.

PORTABLE AC inasambaza baridi haraka wakati AIR COOLER haisambazi inapuliza pale ulipo tu.

PORTABLE AC ina COMPRESSOR k**a ya fridge.

PORTABLE AC ni bora mara 5 zaidi ya AIR COOLER.

 

27/05/2026

Huko mjini kuna nini?

Nasikia  kaandaa tamasha. Je atafanikiwa kujaza watu k**a KENYA NA UGANDA?
27/05/2026

Nasikia kaandaa tamasha.

Je atafanikiwa kujaza watu k**a KENYA NA UGANDA?

20/05/2026

Hapa sio BALI,INDONESIA hapa ni UPARENI.

Kijijini kabisa.

Kijiji cha MFINGA.

Kwa WAPARE.

ABSOLUTELY FANTASTICO.

PARADISE.

20/05/2026

Tembea uone.

UPARENI FANTASTICO.

K**a uko na pesa DAR KWA NINI.

Hapa mwanga ni Balaaa.

Kjjj cha MFINGA 🔥

20/05/2026

Tangu tumeanza huduma ya KUSAFISHIA WASHING MACHINE tunapata simu 📞 nyingi sana.

Takwimu zinaonyesha MACHINE nyingi zaharibika kwasababu ya kukosa service.

Wahi kabla haijawa TOO LATE.

☎️ 0717575635 /0769070711

LOCATION 👉 KINONDONI, MASAKI FITNES NA PUGU.

Address

Kinondoni Mkwajuni
Kinondoni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vitu Kutoka Germany posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share