Mpala Fundi Magari

Mpala Fundi Magari Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mpala Fundi Magari, Engineering service, Kinondoni.

04/05/2026
03/05/2026

Kwa service yagari yako yenye ubora kutoka kwa mafundi professional kabisa nyote mnakaribishwa kwa mawasiliano wasiliana nasi kwanamba hii #0719024673

Wengine wanabahatisha, sisi tunatibu. Brevis ilikuwa haipigi res, lakini baada ya kugusa Throttle Motor na kusafisha map...
03/05/2026

Wengine wanabahatisha, sisi tunatibu. Brevis ilikuwa haipigi res, lakini baada ya kugusa Throttle Motor na kusafisha mapafu ya gari (Air Cleaner & Radiator), chuma imekuwa mpya tena. K**a gari yako inasumbua, usiteseke na mafundi wa 'labda,' njoo sehemu sahihi." kwa kwa mawasiliano wasiliana nasi kwanamba hii #0719024673

JDM JapanCars

30/04/2026

Ufundi siyo nguvu, ni akili na maarifa. Wakati wengine wanaona 'msitu' wa nyaya, sisi tunaona mfumo unaofanya kazi. πŸ› οΈβš‘οΈ

​Kazi ya umeme kwenye gari inahitaji utulivu na ujuzi wa hali ya juu ili kila kitu kirudi kwenye mstari. Gari yako inasumbua umeme? Tuletee mafundi wenye uhakika.

β€‹πŸ“ Tunapatikana Dar es Salaam.

πŸ“ž [ #0719024673 ]"

28/04/2026

Je, gari inatoa sauti za ajabu au engine imepoteza nguvu? πŸ” Fundi Mpala yupo hapa kukurudisha barabarani kwa kishindo. Tunafanya engine overhaul, suspension, na service za aina zote. πŸ”©βœ¨"

Kwa service yagari yako yenye ubora kutoka kwa mafundi professional kabisa nyote mnakaribishwa kwa mawasiliano wasiliana nasi kwa namba hii #0719024673

Pia tunatoa uduma ya kumfuata mteja atalipia usafiri

Subaru Impreza πŸ”₯Black finish mbele & nyuma β€” muonekano umebadilika kabisaKazi safi, detail kali πŸ‘ŠKaribu tufanye yako iwe...
19/04/2026

Subaru Impreza πŸ”₯
Black finish mbele & nyuma β€” muonekano umebadilika kabisa
Kazi safi, detail kali πŸ‘Š
Karibu tufanye yako iwe next level

Kwa service yagari yako yenye ubora kutoka kwa mafundi professional kabisa nyote mnakaribishwa kwa mawasiliano wasiliana nasi kwanamba hii #0719024673

BlackEdition

19/04/2026

Gari yako inasumbua au inatoa sauti isiyo ya kawaida? Karibu kilingeni tupige kazi ya uhakika k**a unavyoona hapo. Ubora ndio kipaumbele chetu. ✨🀝"

Kwa service yagari yako yenye ubora kutoka kwa mafundi professional kabisa nyote mnakaribishwa kwa mawasiliano wasiliana nasi kwanamba hii #0719024673

07/04/2026

"Ulaini wa usukani ndio furaha ya dereva! πŸš—πŸ’¨ Tumetatua tatizo la steering kwenye hii Mazda Verisa na sasa inateleza barabarani. Tunapatikana kwa ajili ya matatizo yote ya umeme na ufundi wa magari madogo. Karibuni sana!".

Kwa service yagari yako yenye ubora kutoka kwa mafundi professional kabisa nyote mnakaribishwa kwa mawasiliano wasiliana nasi kwanamba hii #0719024673

Address

Kinondoni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mpala Fundi Magari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share