PHEMA PIG Project

PHEMA PIG Project PHEMA PIG PROJECT INAJIHUSISHA NA UFUGAJI WA KISASA WA NGURUWE, UUZAJI WA VIFAA VYA UFUGAJI WA NGURUWE NA PIA MANAGEMENT YA MASHAMBA YA NGURUWE.

07/01/2026

.
Tumeanza kupokea matokea ya upandikizaji (A.I) wa September 2025.

Weka oda yako sasa. Piga 0762348406.

30/12/2025

.
Hizi ni customized eartags. Unaweza andika jina na namba uipendayo kwa ajili ya shamba lako pendwa.

Zinapatikana kwa Rangi tofauti tofauti na kwa bei nafuu.

Tupigie 0762348406 kuweka oda yako.

.β€œPhema Agri Inawatakia Krismasi Njema na Mwaka Mpya Wenye Mafanikio!”Katika msimu huu wa furaha na upendo, tunapenda ku...
25/12/2025

.
β€œPhema Agri Inawatakia Krismasi Njema na Mwaka Mpya Wenye Mafanikio!”

Katika msimu huu wa furaha na upendo, tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa wateja wetu, washirika wetu, na kila mmoja aliyekuwa sehemu ya safari yetu mwaka huu. 🌟

Tunakutakia Krismasi yenye baraka, amani, na upendo mwingi. Tunatumaini kuwa mwaka mpya ujao utakuletea mafanikio makubwa zaidi katika maisha na shughuli zako za ufugaji! πŸ–βœ¨

Tutaendelea kuwa hapa kwa ajili yako na familia yako ya ufugaji, tukileta huduma bora zaidi k**a Lunga App, Uhamilishaji (A.I), na LivestockTools.

πŸŽ‰ Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya! πŸŽ‰

πŸ™πŸ–πŸ·

02/12/2025

Hongera kwa Mfugaji Wetu! πŸŽ‰πŸ–

Mfugaji wetu (Mr. Evance) ambaye nguruwe wake amezaa watoto 15 kupitia huduma yetu ya Artificial Insemination (AI)! 🐷πŸ’₯

Endelea kufuga kwa mafanikio na pamoja tufikie malengo ya juu zaidi! πŸš€πŸ‘

Kuweka oda, wasiliana nasi kupitia 0762348406 au 0755700581.

uhamilishaji phemapigproject

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ*TANGAZO LA KAZI:**Position: Insemination Officer*QUALIFICATION:*Certificate/Diploma in Animal welfare and/or Laborato...
18/11/2025

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
*TANGAZO LA KAZI:*

*Position: Insemination Officer*

QUALIFICATION:
*Certificate/Diploma in Animal welfare and/or Laboratory technology or related activity
*Recent Graduates are highly recommended
* Tanzanian

Key skills/knowledge.

* Experience in Animal Health, Behaviour and welfare

K**a unahitaji nafasi, tuma CV yako kwenda email yetu ya *[email protected]* kabla ya tarehe 30 - December 2025.

Tupigie kupitia *+255-762-348406* kwa maelezo zaidi.

Hongera kwa Mfugaji Wetu! πŸŽ‰πŸ–Tunasheherekea mafanikio mengine kwa mmoja wa wafugaji wetu, ambaye nguruwe wake amezaa wato...
15/11/2025

Hongera kwa Mfugaji Wetu! πŸŽ‰πŸ–

Tunasheherekea mafanikio mengine kwa mmoja wa wafugaji wetu, ambaye nguruwe wake amezaa watoto 11 kupitia huduma yetu ya Artificial Insemination (AI)! 🐷πŸ’₯

Endelea kufuga kwa mafanikio na pamoja tufikie malengo ya juu zaidi! πŸš€πŸ‘

Kuweka oda, wasiliana nasi kupitia 0762348406 au 0755700581.

18/09/2025

.
SWALI:
JE HUYU GILT ANA MIMBA AU HANA?

 APICON2025 ilikuwa ni πŸ”₯. Tuonane tena mwakani for APICON 2026.
16/09/2025



APICON2025 ilikuwa ni πŸ”₯. Tuonane tena mwakani for APICON 2026.

.Karibuni kwenye Kongamano la Nguruwe la Kimataifa 2025 Tanzania (APICON) yanayoendelea hivi Sasa hapa UBUNGO PLAZA. PHE...
11/09/2025

.
Karibuni kwenye Kongamano la Nguruwe la Kimataifa 2025 Tanzania (APICON) yanayoendelea hivi Sasa hapa UBUNGO PLAZA.

PHEMA PIG PROJECT Tupo SITE.

Kwa mara ya kwanza, Tanzania tunakuwa na Kongamano la kwanza la Nguruwe litakalofanyika Ubungo Plaza Dar es Salaam kwa s...
10/09/2025

Kwa mara ya kwanza, Tanzania tunakuwa na Kongamano la kwanza la Nguruwe litakalofanyika Ubungo Plaza Dar es Salaam kwa siku tatu mfululizo kuanzia tarehe 11 -13 September 2025.

Kongamano hili litaambatana na maonyesho ya siku zote tatu pamoja na uzinduzi wa machinjio Mpya kabisa na ya kisasa siku ya Jumamosi tarehe 13 Sept 2025, Ubungo Maziwa, Dar es Salaam.

Kongamano litasheheni mafunzo siku zote tatu kutoka kwa wataalam na wabobezi katika sekta ya ufugaji wa nguruwe kutoka nchi mbalimbali.

Hakuna kiingilia, usikose.

SWIPE LEFT. ⬅️ENSURING OUR SERVICES & PRODUCTS ARE CONSISTENT. CALL 0762348406 TO ORDER.
02/09/2025

SWIPE LEFT. ⬅️

ENSURING OUR SERVICES & PRODUCTS ARE CONSISTENT.

CALL 0762348406 TO ORDER.

πŸ†•πŸ– *Habari Njema kwa Wapenda Nyama ya Nguruwe!*Sasa tumepanua huduma zetu katika *Phema Pig Project* kwa kuanza kuuza **...
19/07/2025

πŸ†•πŸ– *Habari Njema kwa Wapenda Nyama ya Nguruwe!*

Sasa tumepanua huduma zetu katika *Phema Pig Project* kwa kuanza kuuza **mbavu za nguruwe (pamoja na mgongo wake)** zilizo hifadhiwa vizuri kwa baridi – **chillled au frozen**, kulingana na mahitaji yako!

Kwa muda mrefu tumekuwa tukihudumia wakulima kwa huduma k**a:
βœ” Uhimilishaji (A.I)
βœ” Uuzaji wa vifaa vya kufugia
βœ” Usambazaji wa chakula bora kwa nguruwe

Sasa tunapanua thamani ya mnyororo kwa kuhakikisha **nguruwe waliotunzwa vizuri** wanawafikia wateja kwa ubora uleule tuliozoeleka kutoa.

πŸ₯Ά *Mbavu zetu za nguruwe ni safi, laini na zenye nyama tamu – zinafaa kwa kuchoma, kukaanga au kupika kwa mchuzi.*

πŸ“¦ Zinapatikana kwa jumla, tayari kwa kuuza kwa:

* Wahudumu wa vyakula (caterers)
* Wamiliki wa migahawa
* Familia zinazopenda nyama bora nyumbani

πŸ“Toa oda zako sasa!
πŸ“ž Piga 0718555602 au 0762348406
πŸ“¦ Tunatoa huduma za delivery Dar es Salaam

Address

Manofu
Kerege

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PHEMA PIG Project posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to PHEMA PIG Project:

Share