Mbao quality tz

Mbao quality tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mbao quality tz, Hardware shop, Buguruni soko la mbao, Dar es Salaam.

π–π€π”π™π€π‰πˆ 𝐖𝐀 π•πˆπ…π€π€ ππŽπ‘π€ π•π˜π€ π”π‰π„ππ™πˆ
β€’Mbao (Treated) za Kupaulia β€’Mabati β€’ Marine Boards β€’ Mirunda n.k

πŸ“žCall us 0779 331 392
πŸ“ Dar es salaam, Buguruni Bakhresa.
🚚 Free delivery

Pata mbao bora zilizokomaa na treated zenye ubora wa hali ya juu kwa ujenzi imara wa muda mrefu.Tunauza mbao za size mba...
14/05/2026

Pata mbao bora zilizokomaa na treated zenye ubora wa hali ya juu kwa ujenzi imara wa muda mrefu.
Tunauza mbao za size mbalimbali kwa bei nafuu na huduma ya haraka.

πŸ“Tunapatikana Buguruni Bakhresa karibu na daraja la treni ya umeme SGR
πŸ“ž 0779 331 392

MbaoQualityTZ β€” Ubora unaoonekana kwenye kila mzigo πŸ’ͺ

🏑πŸͺ΅ KARIBU MBAOQUALITYTZ πŸͺ΅Karibu Mteja tukuhudumie vifaa bora vya ujenzi kwa bei nafuu .πŸ”₯Tunapatikana na:βœ… Mbao( Treated)...
14/05/2026

🏑πŸͺ΅ KARIBU MBAOQUALITYTZ πŸͺ΅

Karibu Mteja tukuhudumie vifaa bora vya ujenzi kwa bei nafuu .πŸ”₯

Tunapatikana na:
βœ… Mbao( Treated) za kupaulia
βœ… Mabati imara
βœ… Mirunda
βœ… Marine Boards

πŸ“ Ofisi : Buguruni upande wa Bakhresa, karibu na daraja la treni ya umeme
πŸš› Usafiri bure mpaka site ukinunua bidhaa zetu
πŸ“ž Piga simu/WhatsApp: 0779 331 392.

✨ Jenga kwa ubora, jenga kwa uhakika β€” chagua Mbaoqualitytz.

14/05/2026

🏑 MbaoQualityTZ Tunakamilisha Ndoto Yako ya Kuwa na Nyumba Bora na ya Kuvutia! πŸͺ΅βœ¨

Tunakuletea mbao zilizokomaa kutoka Mafinga, zenye ubora wa hali ya juu na dawa maalum zinazosaidia kuzuia kuharibiwa na mchwa.

βœ… Imara na zinazodumu kwa muda mrefu
βœ… Hazipindi wala kupasuka kirahisi
βœ… Zinafaa kwa aina zote za ujenzi
βœ… Bei nafuu na huduma ya uhakika

Jenga kwa kujiamini ukitumia mbao bora kutoka MbaoQualityTZ. πŸ—οΈ

14/05/2026



🏑 MbaoQualityTZ Tunakamilisha Ndoto Yako ya Kuwa na Nyumba Bora na ya Kuvutia! πŸͺ΅βœ¨Tunakuletea mbao zilizokomaa kutoka Maf...
13/05/2026

🏑 MbaoQualityTZ Tunakamilisha Ndoto Yako ya Kuwa na Nyumba Bora na ya Kuvutia! πŸͺ΅βœ¨

Tunakuletea mbao zilizokomaa kutoka Mafinga, zenye ubora wa hali ya juu na dawa maalum zinazosaidia kuzuia kuharibiwa na mchwa.

βœ… Imara na zinazodumu kwa muda mrefu
βœ… Hazipindi wala kupasuka kirahisi
βœ… Zinafaa kwa aina zote za ujenzi
βœ… Bei nafuu na huduma ya uhakika

Jenga kwa kujiamini ukitumia mbao bora kutoka MbaoQualityTZ. πŸ—οΈ

πŸ—οΈ KARIBU MBAOQUALITYTZ 🏑Mahitaji yote ya vifaa imara vya ujenzi yanapatikana sehemu moja!Tunakuuzia kwa bei nafuu na ub...
13/05/2026

πŸ—οΈ KARIBU MBAOQUALITYTZ 🏑

Mahitaji yote ya vifaa imara vya ujenzi yanapatikana sehemu moja!
Tunakuuzia kwa bei nafuu na ubora wa hali ya juu:

πŸͺ΅ Mbao (Treated & Imara)
🏠 Mirunda
🧱 Mabati
πŸ”© Misumari
πŸ”— Binding Wire
…na vifaa vingine vingi vya ujenzi

🚚 HUDUMA YA KIPEKEE:
Tunakuletea hadi site yako BURE kabisa!

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa:
☎️ 0779 331 392
☎️ 0625 597 377

πŸ“ Tunapatikana: Buguruni Bakhresa

⚠️ KUMBUKA:
Ukinunua bidhaa zetu, usafiri ni BURE hadi site yako ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam

13/05/2026

πŸ—οΈ Jenga kwa uhakika, jenga na MbaoQualityTZ! πŸͺ΅

Unatafuta mbao imara zisizopinda wala kupasuka? Habari njema ni kwamba hizo mbao sisi tunazo
Sisi tunakuletea mbao (Treated) Zenye dawa zisizoweza kuharibiwa na mchwa zilizokomaa zaidi ya miaka 16 kutoka Mafinga – ubora wa hali ya juu kwa ujenzi wa kudumu πŸ’ͺ

Pia tunapatikana na bati imara zisizopauka wala kushika kutu, zote kwa bei nafuu sana.

πŸ“ Tunapatikana Dar es salaam Buguruni Bakhresa
πŸ“ž Piga simu: 0779 331 392
🚚 Usafiri Bure mpaka site .

πŸ’° BEI ZA MBAO ZETU

πŸͺ΅Mbao za Dawa Futi 18.
βœ… 2Γ—4 futi 18 β€” 13,500/=
βœ… 2Γ—2 futi 18 β€” 6,750/=
βœ… 2Γ—3 futi 18 β€” 10,000/=
βœ… 2Γ—6 futi 18 β€” 20,000/=

πŸͺ΅Mbao za Dawa Futi 12.
βœ… 2Γ—4 futi 12 β€” 6,000/=
βœ… 2Γ—2 futi 12 β€” 3,000/=
βœ… 2Γ—6 futi 12 β€” 10,000/=

πŸͺ΅Fisherboard za Dawa (Nzuri kwa Bati)
βœ… 1Γ—6 futi 12 β€” 8,000/=
βœ… 1Γ—8 futi 12 β€” 11,000/=
βœ… 1Γ—10 futi 12 β€” 17,000/=

MABATI YA RANGI MIGONGO MIPANA NA MIDOGO
; bati G30 pc moja Tsh20,500
;bati G28 pc moja Tsh34,000

MABATI YA CHENGA CHENGA
;bati G30 pc moja Tsh23,500
;bati G28 pc moja Tsh37,500

πŸ“Œ Size zote zinapatikana kwa bei nafuu sana
πŸ’― Tunamjali mteja kwa kumpatia kilicho bora
πŸš› Usafiri bure mpaka site

πŸ“² Wahi kuagiza sasa: 0779 331 392

13/05/2026

πŸ—οΈ Jenga kwa uhakika na MbaoQualityTZ πŸͺ΅

Unatafuta mbao imara zisizopinda wala kupasuka?
Habari njema ni kwamba sisi tunazo! βœ…

Tunakuuzia mbao za dawa (Treated) zilizokomaa zaidi ya miaka 16 kutoka Mafinga, zenye ubora wa hali ya juu na kinga dhidi ya mchwa kwa ujenzi wa kudumu πŸ’ͺ

Pia tunapatikana na mabati imara yasiyopauka wala kushika kutu, yote kwa bei nafuu sana πŸ”₯

πŸ“ Tunapatikana Buguruni Bakhresa, Dar es Salaam
πŸ“ž 0779 331 392
🚚 Usafiri Bure mpaka site

━━━━━━━━━━━━━━━
πŸ’° BEI ZA MBAO ZETU

πŸͺ΅ Mbao za Dawa – Futi 18
βœ… 2Γ—4 β€” 13,500/=
βœ… 2Γ—2 β€” 6,750/=
βœ… 2Γ—3 β€” 10,000/=
βœ… 2Γ—6 β€” 20,000/=

πŸͺ΅ Mbao za Dawa – Futi 12
βœ… 2Γ—4 β€” 6,000/=
βœ… 2Γ—2 β€” 3,000/=
βœ… 2Γ—6 β€” 10,000/=

πŸͺ΅ Fisherboard za Dawa (Nzuri kwa Bati)
βœ… 1Γ—6 β€” 8,000/=
βœ… 1Γ—8 β€” 11,000/=
βœ… 1Γ—10 β€” 17,000/=

━━━━━━━━━━━━━━━
🏠 MABATI YA RANGI
πŸ”Ή Migongo Midogo & Mipana

βœ… G30 β€” 20,500/=
βœ… G28 β€” 34,000/=

🏠 MABATI YA CHENGA CHENGA

βœ… G30 β€” 23,500/=
βœ… G28 β€” 37,500/=

πŸ“Œ Size zote zinapatikana
πŸ’― Tunamjali mteja kwa kumpatia kilicho bora
πŸš› Usafiri bure mpaka site

πŸ“² Wahi kuagiza sasa: 0779 331 392

13/05/2026

πŸ“¦ Toa oda yako leo tukuletee mbao nzuri na imara pamoja na bati bora yasiyopauka wala kushika kutu! πŸͺ΅πŸ 
Tunauza mbao zilizokomaa, zenye dawa na imara kwa kupaua nyumba za kudumu, pamoja na mabati bora yenye uimara wa muda mrefu.

βœ… Mbao imara zilizokomaa
βœ… Mabati yasiyopauka
βœ… Hayashiki kutu
βœ… Bei nzuri
βœ… Usafiri bure hadi ulipo

πŸ“ Tunapatikana Buguruni Bakhresa, Dar es Salaam
πŸ“ž 0779 331 392

Mbaoqualitytz β€” Chagua ubora wa kweli kwa nyumba yako.

Address

Buguruni Soko La Mbao
Dar Es Salaam
0255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbao quality tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category