Atlas Machines

Atlas Machines Sellers of all kind of Machines

21/05/2026

Kata Lami na Zege kiurahisi na Hii Concrete cutter ni ya Diesel kazi kwenu wahandisi 😎

Contact Now : 0746826465
Tunapatikana Mabibo mwisho Dsm

20/05/2026

Speed Reducers ( Gear Reduction) πŸ”₯

Kwa ajili ya conveyor belt, mixer jaw crushers , winch za migodini , mashine za kukamua mazao nk

Contact: 0746826465
Location: Mabibo mwisho Dsm

20/05/2026

Mining Submersible Pump πŸ’₯
Toa maji machafu migodini kwa urahisi na Hizi Pump βœ…

Zina Flow rate nzuri kabisa na zinatumia umeme wa 3 -phase zinapeleka maji Height Kubwa sana βœ…

Contact Now : 0746826465
Tunapatikana Mabibo mwisho Dsm βœ…

20/05/2026

Hizi Gearbox Winch Hata Gari ikikwama inavuta πŸ”₯

Inafaa kwa kuvuta na kuinua mizigo mizito bila preshaβœ…

βœ”οΈ Strong brake system
βœ”οΈ High torque gearbox
βœ”οΈ Inadumu muda mrefu

πŸ“ Location: Mabibo Mwisho, DSM
πŸ“ž 0746826465

19/05/2026

πŸ’° TENGENEZA PESA KUPITIA UZALISHAJI WA KOKOTO (AGGREGATES)

Biashara ya kokoto ni moja ya biashara zenye uhitaji mkubwa sana kwenye sekta ya ujenzi hapa Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ. Kuanzia ujenzi wa nyumba hadi miradi ya barabara – kokoto zinahitajika kila siku!

πŸ”§ Unachohitaji kuanza:
-Crusher (jaw crusher au hammer mill)

-Engine (diesel au umeme)

-Chanzo cha mawe (quarry)
Wafanyakazi wachache (2–5)

πŸ“Š Uzalishaji na Mapato:
Mashine ndogo inaweza kuzalisha hadi tani 16–40 kwa siku.

➑️ Hii inaweza kuingiza takribani TZS 600,000 – 800,000 kwa siku (kabla ya gharama) Kwa uzalishaji mdogo.

πŸ’Έ Faida:
Baada ya gharama k**a mafuta, mishahara na matengenezo, unaweza kupata TZS 150,000 – 500,000 kwa siku.

πŸ“ˆ Bidhaa unazouza:
βœ”οΈ Kokoto (sizes mbalimbali)
βœ”οΈ Crusher dust (mchanga wa mawe)
βœ”οΈ Vifusi (hardcore)

πŸ”₯ Siri ya Mafanikio:
Fanya kazi karibu na maeneo ya ujenzi
-Toa huduma ya delivery
-Punguza downtime ya mashine
-Uza moja kwa moja kwa contractors
Biashara ya kokoto ni chanzo kizuri cha mapato ya kila siku k**a itasimamiwa vizuri.

πŸ“ Atlas Machines – Mabibo Mwisho, DSM
πŸ“ž 0746826465

18/05/2026

Brand New HOWO DUMP TRUCK 380HP βœ…βœ…
Configuration: 6x4 with ub reduction βœ…
Sleeper Cab βœ…
Powered by Weichai Engine β˜‘οΈ

Bei 155,000,000 Kabla ya Kodi

Contact : 0746826465
Tunapatikana Mabibo mwisho Dsm

14/05/2026

πŸ’° TENGENEZA PESA KUPITIA UZALISHAJI WA KOKOTO (AGGREGATES)

Biashara ya kokoto ni moja ya biashara zenye uhitaji mkubwa sana kwenye sekta ya ujenzi hapa Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ. Kuanzia ujenzi wa nyumba hadi miradi ya barabara – kokoto zinahitajika kila siku!

πŸ”§ Unachohitaji kuanza:
-Crusher (jaw crusher au hammer mill)

-Engine (diesel au umeme)

-Chanzo cha mawe (quarry)
Wafanyakazi wachache (2–5)

πŸ“Š Uzalishaji na Mapato:
Mashine ndogo inaweza kuzalisha hadi tani 16–40 kwa siku.

➑️ Hii inaweza kuingiza takribani TZS 600,000 – 800,000 kwa siku (kabla ya gharama) Kwa uzalishaji mdogo.

πŸ’Έ Faida:
Baada ya gharama k**a mafuta, mishahara na matengenezo, unaweza kupata TZS 150,000 – 500,000 kwa siku.

πŸ“ˆ Bidhaa unazouza:
βœ”οΈ Kokoto (sizes mbalimbali)
βœ”οΈ Crusher dust (mchanga wa mawe)
βœ”οΈ Vifusi (hardcore)

πŸ”₯ Siri ya Mafanikio:
Fanya kazi karibu na maeneo ya ujenzi
-Toa huduma ya delivery
-Punguza downtime ya mashine
-Uza moja kwa moja kwa contractors

🚧 Hitimisho:
Biashara ya kokoto ni chanzo kizuri cha mapato ya kila siku k**a itasimamiwa vizuri.

πŸ“ Atlas Machines – Mabibo Mwisho, DSM
πŸ“ž 0746826465

14/05/2026

MAWE SIO DHAHABU YAPO KILA SEHEMU UNASHINDWAJE? 😎
VUNJA MAWE UZA KOKOTO ZAKOπŸ”₯πŸ”₯

Hii ni Jaw Crusher 200X300 (Tan 1-6 kwa lisaa ) inasukumwa na Engine ya Diesel 24hp pia ina 7.5kw Altenator kwa ajili ya Chekeche , size ya kokoto zitakazopatikana ni ( 1 inchβœ…,ΒΎ inch βœ… , Β½ inch βœ…)

Bei 21,000,000/=

Call/contact: 0746826465
Tunapatikana mabibo mwisho Dar es salaam

13/05/2026

TRUCK MOUNTED JAW CRUSHER πŸ”₯ – NGUVU + UHAMISHO RAHISI! πŸš›
Hii ndio solution ya kisasa kwa crushing site yoyote πŸ’ͺ
Inasogea hadi eneo la kazi – hakuna usumbufu wa kusafirisha mawe!
Excavator inapakia πŸ‘‰ Crusher inasaga πŸ‘‰ Conveyor inatoa material πŸ”„
Production inaenda nonstop! πŸ’°
βš™οΈ SIFA KUU:
βœ”οΈ Mobile (ya kwenye truck) – inafika site moja kwa moja
βœ”οΈ Jaw Crusher yenye nguvu – inasaga mawe makubwa kwa urahisi
βœ”οΈ Hopper + Feeder system – inapokea mzigo direct kutoka Excavator
βœ”οΈ Conveyor belt – utoaji wa material haraka
βœ”οΈ Engine ya Diesel – inafanya kazi hata bila umeme
βœ”οΈ Capacity kubwa – hadi 5–50+ Tons kwa saa (kutegemea model)
βœ”οΈ Rahisi kutumia & matengenezo
πŸ’° FAIDA ZAKE:
βœ… Hakuna gharama ya kusafirisha mawe
βœ… Inafanya kazi maeneo ya mbali
βœ… Inaongeza uzalishaji kwa muda mfupi
βœ… Inafaa kwa mining, quarry & road projects
πŸ“ Location: Mabibo Mwisho, Dar es Salaam
πŸ“ž Call/WhatsApp: 0746826465
Stock ni chache – Wahi sasa uanze kuzalisha pesa! πŸš€

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Atlas Machines posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share