Efrah Woods

Efrah Woods TUNAUZA MBAO TREATED•MIRUNDA•MABATI. TUPO BUGURUNI CHAMA-DAR. CONT #0684188952 / #0679188952

👉 Je, unatafuta MBAO IMARA zenye dawa (TREATED) NaAmbazo hazina dawa...?TREATED,Hizi ni mbao za dawa ambazo zimepikwa kw...
07/01/2026

👉 Je, unatafuta MBAO IMARA zenye dawa (TREATED) Na
Ambazo hazina dawa...?

TREATED,Hizi ni mbao za dawa ambazo zimepikwa kwa mitambo maalumu kwa kutumia dawa maalumu ya CCA (Chromated Copper Arsenate)
Na zimekomaa kwa zaidi ya miaka 15 .

👉Mbao hizi zimegawanyika kwa ukubwa wa size tofauti tofauti kulingana na matumizi ya mbao husika,kuna 2 by2,2 by3,2 by4 na 2 by6 n.k
Ambazo mara nyingi hutumika kwa kupaua.

👉KWANINI UNUNUE MBAO HIZI
*Ni mbao bora zisizoguswa na wadudu
*Hudumu daima bila kukumbwa na tatuzo lolote
*Ni bei nafuu ukilinganisha na ubora wake
*Hufanya nyumba kuwa na mwonekano mzuri.

👉KWA MAHITAJI YA MBAO ZA DAWA NA AMBQZO HAZINA DAWA ,USHAURI NA ELIMU KUHUSU MBAO TAFADHARI FIKA OFISINI KWETU BUGURUNI CHAMA DAR ES SALAAM.
WASILIANA NASI

📱0679188952woods woods



👉Karibuni kwa mahitaji ya Mirunda bora,👉Tuna Mirunda mirefu Ft 20 (imechunwa na muda mwingine unaweza weka dawa), Pia tu...
07/01/2026

👉Karibuni kwa mahitaji ya Mirunda bora,

👉Tuna Mirunda mirefu Ft 20 (imechunwa na muda mwingine unaweza weka dawa),
Pia tuna Milunda mifupi Ft 12 (Haijachunwa na haiwekwi dawa)
Tuna Milunda ya inch 2,3,4 na 5.

👉Mirunda bora itakusaidia katika ujenzi wa Ghorofa lako n.k

👉KWA MAHITAJI YA MIRUNDA , USHAURI NA ELIMU KUHUSU MIRUNDA TAFADHARI FIKA OFISINI KWETU BUGURUNI CHAMA DAR ES SALAAM.
Wasiliana Nasi

📲0679188952


Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255684188952

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efrah Woods posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category