13/03/2025
Unaweza kujenga nyumba halafu ikatoa tafsiri mbaya au nzuri juu yako. Usipokuwa makini unaweza kujenga nyumba halafu ikatoa tafsiri kwamba wewe ni mtu wa aina gani. Unajenga nyumba mtu akiiona tu anajua kuwa mwenyewe ni mtu mwenye uelewa wa mambo au ni wa kufata mkumbo. Unajenga nyumba mtu akiiona anajua wewe hela ipo au wa kuunga unga nk.
Cha ajabu sio kwamba kinachotofautisha ni labda vitu vya gharama au havipatikani, Bali ni katika kuchagua tu kipi ni muhimu na kipi sio lazima. Normally unakuta wengi wetu nyumba zetu tunazijaza vitu vingi Vizio na ulazima, marembo mengi nk. Wakati wenzetu ni vitu vichache vyenye unuhimu kwao. Mtu anachagua UA maurembo kibao, baadae anaanza kuona urembo wake umepitwa na wakati, wakati tajiri yeye anaweka dirisha kubwa la kupitisha hewa na mwanga wa kutosha lakini maua hazingatii. Anachoangalia ni usalama. Kwetu sasa mwenzangu na mimi anataka urembo kibao hata hauenei kwenye kadirisha Kako kadogo.
Tujifunze kuchagua vya muhimu na lazima kwenye ujenzi wetu Ili kuou gu,a gharama na masimango ya kilĂ mtu kupita kwako a akutolea mfano mbaya kwenye kitu ulochowekeza hela. Pia itatupunguzia gharama kwa kuepuka visivyo vya msingi. Hata unapobargain na fundi k**a kitu ni simpo hatokukomalia tofauti na unapotaka complications.
Kwa ushauri na kazi kuhusu ujenzi wako kwenye upande wa chuma kuanzia kwenye mageti, madirisha nk usisite kuwasiliana nasi kwa kutupigia au WhatsApp 0652102806.
Tupo Chamazi maeneo ya uwanja wa Azam Complex kituo kinaitwa bamia tumeangaliana na sheli ya Puma