Tuagizeltd

Tuagizeltd Tunauza na kuagiza vifaa vya ujasiriamali kutoka China. Simu +255715316614. Ofisi ipo DSM ,Sinza Mori, nyuma ya Delina Apartment .Instagram

02/06/2026
02/06/2026

PRE-ORDER: Mashine ya umeme ya kunyonyoa tunaleta kwa ODA kutoka China.
Size ndogo (Kuku 4) 1,400,000/=
Size ya kati (Kuku 6) 1,600,000/=
Size kubwa (Kuku 15) 3,500,000/=

Unaweza kuanza kulipia 70% ya bei mzigo ukifika unamalizia 30%. Tupo Sinza Mori jirani na Delina Appartment. Namba ya dukani ni 0715 316 614. ODA ni siku 45 hadi 60.

02/06/2026
01/06/2026

Umevuna mahindi yako tayari? Wenzako tayari washajibebea mashine zao hizi za kupukuchua mahindi....bado simu ni nyingi kwa ambao wamechelewa chelewa, nikukumbushe tu ndugu ya ngu mkulima WAHI SASA usijechelewa ukakuta mashine zimeshatuishia ukapata tabu.

Mashine hizi za kupukuchua mahindi tunazo ofisini Sinza Mori, bei ni 1,350,000 tu. Mashine ina uwezo wa kupukuchua zaidi ya Tani 1 kwa saa 1 (Kilo 1200 kwa saa).

Mashine ni za mafuta ya PETROL popote ulipo unaweza kuitumia.Tunapatikana Sinza Mori jirani na Delina Apartment, namba zetu za simu/Whatsapp: 0715 316 614. Ukihitaji kusafirishiwa ulipo tunaweza kukutumia.

30/05/2026

Mashine za kukamua mafuta aina mbalimbali zipo ofisini kwetu zina uwezo wa kukamua mafuta ya mbegu/nafaka aina 24 (Nazi,karanga,alizeti n k). Tupo Sinza Mori na bei yake ni 999,000/= tu!

Unataka kukamua mafuta ya n**i? unataka kupata tui zito la n**i (coconut milk), unataka kukamua mafuta ya karanga, alizeti, n**i na mafuta ya mbegu mbalimbali? Mashine ni hizi zipo dukani kwetu.

Tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment. Tupigie/Whatsapp 0715316614 popote tunatuma kwa gharama za mteja.

**i **i

Boss k**a unahitaji kuanza au kuboresha mradi wako wa biashara ya kukamua mafuta, basi hapa tumekusogezea aina mbalimbal...
29/05/2026

Boss k**a unahitaji kuanza au kuboresha mradi wako wa biashara ya kukamua mafuta, basi hapa tumekusogezea aina mbalimbali za mashine za kukamua mafuta. Tunakusaidia kutimiza ndoto na malengo yako kwa kukuagizia mashine hizi kutoka China na utapokea mzigo wako ofisini kwetu Sinza Mori DSM. Unaweza kutembelea ofisini kwetu au kuwasiliana nasi 0715316614 kwa maelezo zaidi. Oda ni siku 45-60 kwa usafiri wa meli, malipo ya awali ni 70%. Bei iliyopo kwenye tangazo inahusisha kila kitu mpaka mashine yako imefika Sinza ofisini.
Ukihitaji mashine nyinginezo za ujasiriamali, tunazo Sinza ofisini, au tembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii. Simu 0715316614

Zipo dukani tayari mashine hizi za kupima pressure, bei yake ni 59,000/= tu.Inahifadhi kumbukumbu na inatoa sauti kukuam...
29/05/2026

Zipo dukani tayari mashine hizi za kupima pressure, bei yake ni 59,000/= tu.Inahifadhi kumbukumbu na inatoa sauti kukuambia k**a pressure yako ipo sawa,juu au chini.

Mashine ya pressure ni muhimu sana kuwa nayo ndani, kwa wale wenye wazee wetu wanaosumbuliwa na pressure tuwachukulie hizi mashine, wamama wajawazito pia sio kupima pressure hadi siku ya clinic, changamoto za pressure nyingi sana sasa, nunua weka ndani uwe una jimonitor mwenyewe nyumbani, sio unasubiri hadi inakuzidia ghafla bin vuu🙂

Tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment. Namba ya simu/Whatsapp: 0715 316 614.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 07:00
Tuesday 08:00 - 07:00
Wednesday 08:00 - 07:00
Thursday 08:00 - 07:00
Friday 08:00 - 07:00
Saturday 08:00 - 07:00
Sunday 08:00 - 07:00

Telephone

255715316614

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tuagizeltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share