05/05/2026
K**apala Red ni Rangi Iliyofanya Vizuri Msimu Huu Kwenye Mauzo.Scrow kulia uone miundo tofauti ya bati zake.
Kwanini Kampla Red?
✅Inamvuto wa Rangi yake
✅Ni rafikia sehemu zenye jua kali,kidongo chekundu na vumbi kwani inaficha.
✅Inaendana na rangi nyingine za nyumba K**a white,cream au beige
✅Ni trend ya sasa.
✅Upatikanaji na bei yake ni rafiki.
Ipo kwenye offer bei yake kwa Gauge 30
Migongo Mipana ni 20,500
Migongo Midogo ni 20,500
Mfano wa Kigae ni 35,000
Kuanzia Pc 50> Tunatoa
✅Free Delivery
✅Misumari ya Offer
Tunapatikana Tabata Matumbi,Dar-es-
0712305680/0756544417