Neaty Electrical Contractors

Neaty Electrical Contractors Efficient,reliable electrical company in Tanzania

24/01/2026

Good night
💯

😅 😅 😅
21/01/2026

😅 😅 😅

Fursa ya Ajira
28/12/2025

Fursa ya Ajira

08/12/2025
07/12/2025

Tunawatakia usiku mwema

Tunawatakia jumatano njema
07/05/2025

Tunawatakia jumatano njema

♥️
29/01/2025

♥️

C&PMWANAMKE SI RAFIKIFRANK NA NESTO WAPO KANISANI...Frank: Nesto Kwa Nini Mwanamke Yule Ananitazama Hivi?Nesto:mwanamke ...
29/01/2025

C&P
MWANAMKE SI RAFIKI
FRANK NA NESTO WAPO KANISANI...

Frank: Nesto Kwa Nini Mwanamke Yule Ananitazama Hivi?

Nesto:mwanamke Yupi?
Frank:yule Pale Kavaa Gauni Ya Bluu.
Nestor:usimtazame Kamwe achana nae.

Baada Ya Dakika Chache Frank Akasema Tena lakini Nesto Anani Konyezea Jicho!
Nesto: nimeshakwambia Usimtizame wewe sikiliza mahubiri.

Baada Ya Misa Frank Akapotea Na Nesto Akaja Kumuona Saa 5 Usiku.

Nesto: frank Ulipitia Wapi Tangu Mchana Saa 6 Mpaka Hivi?

Frank: Ndugu yangu Ni Story Ndefu Nimechoka sana hapa nilipo,yaani niko hoi!!!
Nesto: story Ndefu Kulikoni?

Frank: tulipotoka Kanisani Yule Mwanamke Akaniita Tukaongea vizuri tu halafu Tukaenda Kwake Tukala chakula Ila Alipotaka Kunikumbatia Tu Mumewe Askari Akaja Yule Mama Akasema Mumewe Ni Mkali Sana Ataniua Kwa Hiyo Akanipa Nguo Nyingi Sana Zilizo Kuwa Kabatini Nikajifanya Mpiga Pasi Nguo.

Nesto: yaan Toka Mchana Mpaka Hivi Saa 5 Usiku umekuwa unapiga Pasi Tu?

Frank: Ndio Kaka,na vyombo juu nimeosha na kusugua masufuria.

Nestor: Nilikwambia Usimuangalie Hukusikia Unatakiwa unisikilize ninapo Kwambia Kitu.
Unaona Zile Nguo Ulizo Piga Pasi Mimi Ndio Nilizifua Jumapili Iliyopita.
Na Mimi Kanifanyia Hivyo Hivyo Kaka na nimeambiwa ni mpango wao na mumewe ndio maana hawaajiri wafanyakazi wa ndani....

Kazi
09/01/2025

Kazi

Linda maisha ya watu uwapendao kwa kuacha kutumia vishoka kwenye kazi za ukandarasi wa umeme.Kwani Takwimu zinaonyesha a...
07/01/2025

Linda maisha ya watu uwapendao kwa kuacha kutumia vishoka kwenye kazi za ukandarasi wa umeme.
Kwani Takwimu zinaonyesha ajali nyingi za moto zinatokana na ujenzi holela wa mifumo ya umeme majumbani na viwandani.
Tupigie Neaty Electrical Contractor kampuni iliyosajiliwa na yenye mafundi waliobobea kwenye fani ya Umeme na wenye uzoefu wa muda mrefu kwenye ujenzi wa mifumo ya umeme.

Mawasiliano:
0767468487
0717406766

Mnakumbushwa
15/12/2024

Mnakumbushwa

Address

Kimanga Sokoni
Dar Es Salaam
62769DARESSALAAM

Telephone

0784468487

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Neaty Electrical Contractors posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Neaty Electrical Contractors:

Share