antony_thadeo

antony_thadeo Tunauza Samaki na dagaa bora kutoka Mwanza ๐ŸŸ
Supply ya jumla na rejareja. Tunatuma hadi Dar es Salaam na mikoa mingine. Wasiliana nasi kwa oda.

24/05/2026

Sunday vibe

23/05/2026

Africa

Karibu ujipatie package yako.
23/05/2026

Karibu ujipatie package yako.

โ€œAnza kidogo, kukuza kidogoโ€ฆ dagaa leo, kesho unakuwa mbali ๐ŸŸ๐Ÿ’ชโ€
23/05/2026

โ€œAnza kidogo, kukuza kidogoโ€ฆ dagaa leo, kesho unakuwa mbali ๐ŸŸ๐Ÿ’ชโ€

Mapenzi ya sasa ukikosa ushahidi unafunguliwa kesi ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜‚
23/05/2026

Mapenzi ya sasa ukikosa ushahidi unafunguliwa kesi ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜‚

Sema ukweliโ€ฆ mshahara wa mwezi huu umeenda wapi? ๐Ÿ˜‚
23/05/2026

Sema ukweliโ€ฆ mshahara wa mwezi huu umeenda wapi? ๐Ÿ˜‚

22/05/2026

Where is this?

22/05/2026

Beautiful area

THOMAS SANKARATHOMAS SANKARA: Mnamo mwaka 1983 kijana mwenye asili ya Burkina Faso akiwa na umri wa miaka 33 alichukua u...
22/05/2026

THOMAS SANKARA

THOMAS SANKARA: Mnamo mwaka 1983 kijana mwenye asili ya Burkina Faso akiwa na umri wa miaka 33 alichukua uongozi wa nchi yake kupitia mapinduzi ya kijeshi, na kuwa Rais wa Burkina Faso.
Kijana huyu alihukumiwa na historia kuwa kiongozi wa mapinduzi yaliyolenga kubadilisha maisha ya wananchi wake kutoka kwenye umaskini na utegemezi wa mataifa ya nje.

Inaelezwa kuwa mara baada ya kuchukua madaraka alikataa maisha ya kifahari ya viongozi wa kawaida, ambapo alijenga mfano wa uongozi wa kipekee uliokuwa na unyenyekevu mkubwa. Alipunguza matumizi ya serikali, alihamasisha wananchi kujitegemea, na hata alishiriki shughuli za kijamii k**a kupanda miti mwenyewe.

Kesi yake ya uongozi ilivuta hisia kubwa barani Afrika na duniani, kwani aligusa masuala ya haki, usawa, na uhuru wa kiuchumi kwa nchi za Afrika.

Hata hivyo, inaelezwa kuwa maamuzi yake na msimamo wake mkali dhidi ya mfumo wa kimataifa uliomfanya awe na maadui ndani na nje ya nchi.

Inaelezwa kuwa mwaka 1987, aliuawa katika mapinduzi ya ndani ya nchi yake akiwa bado madarakani, na ndoto yake ya Afrika mpya ikaachwa k**a urithi mkubwa wa kihistoria.

21/05/2026

Africa

Huyu mwanamke k**a tupo polisi๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿป
21/05/2026

Huyu mwanamke k**a tupo polisi๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿป

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when antony_thadeo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share