sjh hardware

sjh hardware Wauzaji wa vifaa vya ujenzi
Tiles na sanitary za kisasa

Haitaki, wala uwekekaji wake siyo mgumu kwa fundi.📞 📲 0614093048Huduma za kifalme kwa vitendo.
15/07/2024

Haitaki, wala uwekekaji wake siyo mgumu kwa fundi.
📞 📲 0614093048
Huduma za kifalme kwa vitendo.

Inakuokolea muda wako wa kuweza kuwahi kazini, ukisha tu; haichukuwi mda mrefu kuanza kutoa maji ya moto. @230,000/=📞 📲 ...
15/06/2024

Inakuokolea muda wako wa kuweza kuwahi kazini, ukisha tu; haichukuwi mda mrefu kuanza kutoa maji ya moto.
@230,000/=
📞 📲 0624093048

55,000/= Bila vifaa vyak, ikiwa na vifaa  vyake vyote 90,000/= haipauki wala kufifia unavyona hapo hata kawaida ipo hivy...
13/06/2024

55,000/= Bila vifaa vyak, ikiwa na vifaa vyake vyote
90,000/= haipauki wala kufifia unavyona hapo hata kawaida ipo hivyohivyo.
📞 📲 0624093048
Huduma za kifalme kwa vitendo.

A.Toilet Rangi @25,000/=Nyeupe @20,000/=Hazifubai, hazipauki wala kuchunika.Made in India 📞 📲 0624p93048Huduma za kifalm...
12/06/2024

A.Toilet
Rangi @25,000/=
Nyeupe @20,000/=
Hazifubai, hazipauki wala kuchunika.
Made in India
📞 📲 0624p93048
Huduma za kifalme kwa vitendo.

Flash tank PVC Ina presha ya kuweza kusukuma uchafu.Haitumii maji mengi sana ina bajeti maji.Matumizi; haja ndogo unabon...
07/06/2024

Flash tank PVC
Ina presha ya kuweza kusukuma uchafu.
Haitumii maji mengi sana ina bajeti maji.
Matumizi; haja ndogo unabonyeza kibatani kimoja.
Haja kubwa unabonyeza batani mbili kwa pamoja.
@35,000/=
📞 📲 0624093p48
Huduma za kifalme kwa vitendo.

Pilla tape /Koki za beseni maji moja @15,000/=Call 📞 📲 0624093048Huduma za kifalme kwa vitendo.       with us.
05/06/2024

Pilla tape /Koki za beseni maji moja
@15,000/=
Call 📞 📲 0624093048
Huduma za kifalme kwa vitendo.
with us.

Baseni, bila vifaa vyake @70,000/=📞 WhatsApp 📲 0624093048Huduma za kifalme kwa vitendo.
30/05/2024

Baseni, bila vifaa vyake @70,000/=
📞 WhatsApp 📲 0624093048

Huduma za kifalme kwa vitendo.

Uhakika wa bidhaa zako ni mhimu sana , kuondoa usumbufu; Baada ya kufika saiti uanze kupiga simu kuna bidhaa zimepungua ...
30/04/2024

Uhakika wa bidhaa zako ni mhimu sana , kuondoa usumbufu; Baada ya kufika saiti uanze kupiga simu kuna bidhaa zimepungua au kifaa kimoja kimesahaulika. Tupo kuhakikisha huduma za kifalme kwa vitendo. Sjh_hardware Quality %trust %build_with Us.

Utanielewa tu ukituliza akili yako na usome taratibu.Kuna kaka yake, dada yake, Baba yake, Mama yake, ila kuna utofauti ...
13/04/2024

Utanielewa tu ukituliza akili yako na usome taratibu.
Kuna kaka yake, dada yake, Baba yake, Mama yake, ila kuna utofauti katika kuweka sawa ukiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Pale unapomkuta mtu nyumbani ghafula au simu au sms unapo kutana nayo kwenye simu yake: Na ukatambulishwa hivyo;

kwa sababu kuna kaka yake wa kuzaliwa naye halafu kuna kaka yake.

,kuna dada yake wakuzaliwa naye, halafu kuna dada yake.

kuna Baba mzazi halafu na Baba mlezi.

kuna Mama mzazi halafu na Mama mlezi.

"Bajaji na bodaboda siyo daladala maana zenyewe hazina ruti maalumu zinaweza kupakia hata k**a zina abiria ndani"

N:B zingatia hasa neno (YAKE)

Usipo nielewa leo utanielewa kesho.
Wewe ni MTEULE.

Address

Kariakoo Congo Na Kiungani
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when sjh hardware posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category