25/04/2026
Mashine bora ya kisasa kwa kukatia nyama, mifupa na samaki kwa haraka, usahihi na usafi wa hali ya juu.
Mashine hii ina motor yenye nguvu (High-Power Motor), inayoiwezesha kufanya kazi mfululizo bila kuchoka – chaguo bora kwa wenye biashara za buchani, viwanda vya kuchakata nyama, hoteli na migahawa mikubwa.
▶️Tuma Mashine za Kampuni mbalimbali;
✔️Capital
✔️Beco
✔️ Spider
✔️Easy Power
🔧 Sifa Kuu za mashine zetu:
✅ Mota yenye nguvu – inakata mifupa migumu kwa haraka
✅ Kisu cha band saw chenye ubora wa juu, salama na imara
✅ Rahisi kusafisha – inafuata viwango vya usafi wa chakula
✅ Imetengenezwa kwa chuma cha Stainless Steel – haina kutu, inadumu
✅ Inafanya kazi kwa muda mrefu bila kupungua nguvu
✅ Inafaa kwa buchani kubwa, migahawa, supermarkets na mahoteli
✅ Ina warranty ya uhakika na huduma ya baada ya mauzo
📍 Tembelea duka letu: Kariakoo
Nyamwezi & Mkunguni Street – Kariakoo, Dar es Salaam
(Shimo la kwanza, mkabala na jengo la Sandland)
Phone/WhatsApp
📞 +255 684 673 838
🌐 www.salamstore.co.tz
✉️ [email protected]
Wasiliana nasi sasa!
📸 Follow kwa bidhaa bora, ofa na elimu ya vifaa vya biashara!