Rugars Online Store

Rugars Online Store TUNAUZA MABATI YA RANGI AINA ZOTE NA VIAMBATA VYAKE
TUPIGIE/WHATSAPP: 0676183114 / 0768183114

*SHUHUDA ZA WATEJA WETU*📍Kutoka Mbinga, Tanzania.Tunashkuru sana Mteja wetu kwa kutumaini....Ona Mabati niliyomuuzia yal...
29/04/2026

*SHUHUDA ZA WATEJA WETU*

📍Kutoka Mbinga, Tanzania.

Tunashkuru sana Mteja wetu kwa kutumaini....
Ona Mabati niliyomuuzia yalivopendezesha Nyumba yake.

Wateja wetu...endeleeni kutumaini na mtupe oda zenu.
OFA ZETU

> Tunasafirisha Bure mikoa Yote Tanzania ukianzia bati 70.
> Tunakupa Ofa Misumari 5pkts bure ukianzia bati 100

Tuwasiliane:0768183114

Jipatie Mabati mazuri BORA, IMARA, yanahimilivu mabafiliko ya hali ya Hewa katika mikoa yote ya Tanzania.USAFIRI BIRE MI...
28/04/2026

Jipatie Mabati mazuri BORA, IMARA, yanahimilivu mabafiliko ya hali ya Hewa katika mikoa yote ya Tanzania.
USAFIRI BIRE MIKOA YOTE
PAKTI 5 BURE MISUMARI Kuanzia bati 100

Nipigie/whatsapp:0768183114

Bati zinapatikana Rangi aina zote. G30 sh.22,500G28 sh.37,000 kwa bati ya rangi.Tunasafirisha Bure MikoaniUnapata ofa ya...
16/02/2026

Bati zinapatikana Rangi aina zote.
G30 sh.22,500
G28 sh.37,000 kwa bati ya rangi.
Tunasafirisha Bure Mikoani
Unapata ofa ya Misumari tKg bure
Tupigie:0768183114

13/02/2026

           TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
13/01/2026

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

*TANGAZO LA KAZI YA UWAKALA WA KUUZA VIFAA VYA UJENZI*Tunakaribisha watu walio na sifa zilizoorodheshwa hapo chini kwa a...
09/01/2026

*TANGAZO LA KAZI YA UWAKALA WA KUUZA VIFAA VYA UJENZI*

Tunakaribisha watu walio na sifa zilizoorodheshwa hapo chini kwa ajili ya kuwa Mawakala (Agents) wa kuuza vifaa vya ujenzi kwenye *Kampuni ya Rugars Investment Company Limited*

Kesho siku ya Jumamosi yatafanyika mafunzo maalum kwa ajili ya watu hao walio tayari.

*Sifa za Mwombaji*
-Awe Mtanzania
-Awe na Elimu ya Kidato cha Nne na kuendelea.
-Umri wa miaka 20-45
-Awe anaweza kutumia vifaa vya kielectronic k**a computer na simu pamoja na matumizi ya mitandao ya kijamii.

*MUUNDO WA KAZI*
-Kila wakala anafanyia kazi mkoa anaoishi haina ulazima wa kuhama.

Vifaa vinavyouzwa kwa njia ya uwakala kwasasa
-Bati za Rangi aina zote na kampuni mbalimbali.
-Misumari aina zote
-Kofia za Bati
-Valley/gata za bati
-Nondo
-Tiles(Marumaru)

*MALIPO*
Zipo njia 3 za malipo
-Malipo yanafanyika kwa njia ya Commission kila unapofanya mauzo.
-Malipo ya bonus pale mtu uliyemsajili kwenye mfumo wetu k**a Agent chini ya Team yako atakapouza. Malipo haya hufanyika kwa Vizazi, 10% kizazi cha kwanza na 2% kizazi cha pili.
-Malipo ya Bonus 100,000 kwa Agent atakayefikia target ya mauzo ya sh.10,000,000 kwa mwezi.

Sambaza ujumbe huu kw yeyote aliyetayari atume ujumbe kwenye namba ya simu *0768183114* kwa sms au Whatsapp ili atumiwe link ya mafunzo yatakayofanyika kesho Jumamosi 10/01/2026 saa 11 jioni kwa njia ya Google Meeting.

Imetolewa na:-

Kelvin Neckemiah
Kwa niaba ya uongozi,
Rugars Investment Company Limited.;

Uongozi,
Rugars Investment Company Limited.;

17/12/2025
NONDO ZINAPATIKANA KWA BEI NAFUU MNO...TUWASILIANE 0768183114USAFIRI BURE MIKOA YOTE TZ
09/08/2025

NONDO ZINAPATIKANA KWA BEI NAFUU MNO...
TUWASILIANE 0768183114

USAFIRI BURE MIKOA YOTE TZ

TANGAZO LA KAZI...Mwisho Tar.10/08/2024Tuma kwa Email: rugarsinvestments.co.ltd@gmail.com au Whatsapp +255676183114
30/07/2025

TANGAZO LA KAZI...Mwisho Tar.10/08/2024

Tuma kwa Email: [email protected] au Whatsapp +255676183114

Address

Tegeta
Dar Es Salaam
0403

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rugars Online Store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category