MGM Building Materials

MGM Building Materials MGM Building Materials gives you Value for money. Get Construction chemicals like waterproofing, admixtures, sealants, grouts etc.

02/08/2021
Kwa Muonekano mzuri wa Nyumba yako tembelea MGM Building Materials.Tunabadilisha muonekano wa Nyumba yako kwa kukuuzia b...
28/06/2021

Kwa Muonekano mzuri wa Nyumba yako tembelea MGM Building Materials.
Tunabadilisha muonekano wa Nyumba yako kwa kukuuzia bidhaa za ujenzi ambazo ni sahihi na salama kwaajili ya kuzuia uvujaji wa maji kwenye paa la zege (Slab Roof), pia paa la bati za kawaida, tuna bidhaa kwaajili ya kuzuia ukuta usipate Fungus na Rangi kubabuka na pia tuna bidhaa kwaajili yakuzuia maji yasivuje kutoka kwenye Gutters.

Msimu wa mvua ndio huu lakini kuna watu wanapatashida sababu ya kuvujiwa paa zao,kuna suluhisho Kwaajili yenu msumbukao,...
05/05/2021

Msimu wa mvua ndio huu lakini kuna watu wanapatashida sababu ya kuvujiwa paa zao,kuna suluhisho Kwaajili yenu msumbukao, SYNROOF HI BUILD & SIKA RAINTITE!!!!!

Unyevu (Dampness) ni shida ambayo watu wengi huipata kwenye nyumba zao, na mara nyingi husababisha rangi kubandka na hat...
07/04/2021

Unyevu (Dampness) ni shida ambayo watu wengi huipata kwenye nyumba zao, na mara nyingi husababisha rangi kubandka na hata plaster kuanza kupukutika hasa k**a sehemu ina chumvichumvi. SIKAGARD 905W ndio suluhisho. Wasiliana nasi kupitia 0757237705

We are now open
07/04/2021

We are now open

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 16:00

Telephone

+255757237705

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MGM Building Materials posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MGM Building Materials:

Share