27/02/2026
Fika WIGGOS HARDWARE ujipatie mbao iliyokoma kwa zaid ya miaka 15 mpaka 20 mbao zetu zinavunwa kwenye msitu wa serikali, pia huwekwa dawa kwa mitambo maalum ambayo huchemsha mbao kwa dawa ya kuzuia wadudu waharibifu. Office zetu nipatikana (BUGURUNI CHAMA) karibu na stand ya mwendokasi. Tunatoa offer ya Usafiri bure kwa wa kazi wa Dar Es Salaam.