19/09/2024
💥 OFFER OFFER OFFER 💥
Furahia punguzo la bei moja kwa moja utakapochukua bati kiwandani
Ezeka godown,kanisa, Msikitin,shule , nyumba
;
👉Zitambue faida ya kununua bati kiwandani
✍️utajipatia usafir bure kuazia bati 80
✍️utajipatia misumari kg 5 offer kwa mteja
✍️utajipatia ushauri wa kiufundi Jinsi ya upauwaji wa nyumba yako ;
❇️GEUGE ;
Migongo mipana sh 21500/-
Migongo midogo sh 21500/-
Vipimo maalumu kwa mita sh 10500/=
❇️GEUGE 28 ;
Migongo mipana sh 34500/=
Migongo midgo sh 34500/-
Vipimo maalumu kwa mita sh 12500/-
KIGAE
❇️GEUGE 30
Muhundo wa kigae sh 35000/=
Vipimo maalumu kwa mita 1 sh 12500/=
❇️GEUGE 28
Muhundo wa kigae sh 420000/=
Vipimo maalumu kwa mita 1 sh 14000/=
CHENGA CHENGA
❇️GEUGE 30
Migongo mipana sh 24500/=
Migongo midogo sh 24500/=
Vipimo maalumu sh 12000/=
❇️GEUGE 28
Migongo mipana sh 36000/=
Migongo midogo sh 36000/=
Vipimo maalumu sh 13000/=
NB : usafiri ni buree mikoan na ndan ya Daresalam
Kuazia bati 80 na kuendelea
❇️KWA WATEJA WA MIKOANI ;
MODE OF PAYMENT
Ok, Utaratibu wetu wa malipo upo k**a ifuatavyo, tunashauri ufike kiwandani kwanza
ufahamu kiwanda kilipo pili ujilizishe na huduma zetu au pia waweza muagiza Muwakilishi wako yoyote Yule either ndugu, jamaa au rafiki akafika kiwandani akajilizisha na huduma zetu sasa Ndio unaweza fanya malipo either kupitia Huyo muwakilishi akalipia cash
Kiwandani au pindi tukiwa na muwakilishi wako
kiwandani unaweza fanya malipo moja kwa moja kwenye Bank Account zetu za kampuni
(CRDB & NMB Bank) then tukakata order yako tayari kwa kukusafirishia.
Tutamkabidhi muwakilishi wako baadhi ya document za makabidhiano ya mzigo
Karibu sana .
0655992613/0743992613
❇️kumbuka usafir ni buree kwa mikoa yote Tanzania