Emiratealuminiumprofile

Emiratealuminiumprofile Emirate Aluminium Profile We supply Aluminium Products, Construction and Installation
Customer Care

With Emirate Aluminium Windows, every detail is crafted to bring beauty, comfort, and lasting performance to your space....
14/05/2026

With Emirate Aluminium Windows, every detail is crafted to bring beauty, comfort, and lasting performance to your space. πŸͺŸβœ¨
From sleek modern finishes to unmatched durability, we create windows that elevate the way you live and experience every space.πŸ’―πŸ’₯

CHOOSE QUALITY, CHOOSE EMIRATE ALUMINUM AND GLASS CO.✨️

MBEYA BRANCH UNLOCKED!πŸ“βœ¨Ubora wa Emirate Aluminium Profile and Glass sasa uko karibu zaidi nawe kupitia tawi letu jipya ...
13/05/2026

MBEYA BRANCH UNLOCKED!πŸ“βœ¨
Ubora wa Emirate Aluminium Profile and Glass sasa uko karibu zaidi nawe kupitia tawi letu jipya la Mbalizi.
Kwa profile za kisasa na huduma za uhakika, karibu ututembelee leo. 🀝
πŸ“ž: 0791243028

ROMBO KWACHAAAAA!🀝Waamkeni Tata na mama. Msigo umeshka kwa mwetru. Nshooni ndao tuvahudumie, tuli kwaajili yamwonuKsalen...
12/05/2026

ROMBO KWACHAAAAA!🀝

Waamkeni Tata na mama. Msigo umeshka kwa mwetru. Nshooni ndao tuvahudumie, tuli kwaajili yamwonu

Ksalendo saidi!πŸ’₯πŸ‘Š
πŸ“ž: 0791293051

24/04/2026

Mheshimiwa Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir, akimpongeza Mkurugenzi wa Emirate Aluminum and Glass Co., Mr Deogatius Emily Marandu, kwa mchango mkubwa wa kampuni katika kukuza ujuzi wa vijana na maendeleo ya sekta ya aluminium nchini. Glass Co., katika kushirikiana na serikali kujenga taifa lenye wataalamu wa viwango vya juu. πŸ‡ΉπŸ‡Ώβœ¨

Tukio linaendelea rasmi! πŸ”₯Mamia ya vijana na mafundi wamejitokeza kushuhudia uzinduzi wa mafunzo ya ufundi seremala unao...
23/04/2026

Tukio linaendelea rasmi! πŸ”₯

Mamia ya vijana na mafundi wamejitokeza kushuhudia uzinduzi wa mafunzo ya ufundi seremala unaoendeshwa na VETA Tanzania kwa kushirikiana na Emirate Aluminium and Glass.

Hii ni hatua kubwa kuelekea kukuza ujuzi, ajira, na kujenga kizazi chenye uwezo wa kujiajiri na kuajiri wengine. Kila kiti kimejaa β€” ishara kwamba vijana wako tayari kwa mabadiliko! πŸ’Όβœ¨

πŸ“ Tegeta, Dar es Salaam
πŸ“… Leo

Ufundi stadi sio mbadala β€” ni njia halisi ya mafanikio.

Mimi ndimi ufufuo na uzima, aniaminiye mimi atakuwa hai.” Yohana 11:25πŸ™πŸ€πŸ£PASAKA NJEMA KUTOKA EMIRATE ALUMINUM AND GLASS ...
05/04/2026

Mimi ndimi ufufuo na uzima, aniaminiye mimi atakuwa hai.” Yohana 11:25πŸ™πŸ€πŸ£

PASAKA NJEMA KUTOKA EMIRATE ALUMINUM AND GLASS CO.βœ¨οΈπŸ™

05/03/2026

UZOEFU HALISI KUTOKA KWA WATEJA WETU!✨️

Katika nyumba hii, tumetumia Euro Section yenye uimara mkubwa pamoja na balcony ya glass toughened iliyotengenezwa kwa ustadi na timu ya Emirate Aluminium and Glass Co.
Matokeo yake? Muonekano wa kisasa, usalama wa hali ya juu, na ubora unaodumu kwa miaka.
Sikiliza wateja wetu wakieleza uzoefu wao na kwanini walichagua Emirate Aluminium & Glass Co. kwa kazi ya nyumba yao.
Ubora unaoonekana. Uaminifu unaosikika. ✨

23/02/2026

New week. New targets. Uncompromising standards. ✨
At Emirate Aluminum and Glass Co., excellence starts long before installation.
Our skilled team operates in full safety compliance, delivering reliable aluminium solutions built to perform and built to last. β›‘οΈπŸ¦Ί
Because true quality is not an option. It’s a standard.

Keep choosing the best. Keep choosing Emirate Aluminium. πŸ’Ž

Wakati huu wa Kwaresma, tunatafakari, tunatubu na kurejea kwa Bwana kwa mioyo ya unyenyekevu. πŸ€β€œTubuni, mrudi kwangu kwa...
18/02/2026

Wakati huu wa Kwaresma, tunatafakari, tunatubu na kurejea kwa Bwana kwa mioyo ya unyenyekevu. 🀍

β€œTubuni, mrudi kwangu kwa mioyo yenu yote, kwa kufunga, kwa kulia na kwa kuomboleza.” Yoeli 2:12βœ¨οΈπŸ™

KWARESMA NJEMA KUTOKA EMIRATE ALUMINUM AND GLASS CO. πŸ™

09/02/2026

Anza wiki yako kwa kuchagua kilicho bora!

Toughened Glass ya Emirate Aluminum inaleta muonekano wa kisasa, usalama wa uhakika na ubora unaodumu kwa muda mrefu.
Leo ni siku ya kuwekeza kwenye kilicho bora.
πŸ“© Tuandikie DM Sasa
πŸ“ž Wasiliana nasi upate quotation
πŸ— Jenga kwa viwango, Jenga na Emirate Toughened Glass

UMEIONA EMIRATE ALUMINIUM KWENYE TV? πŸ”₯Tupo live kwenye screen zako! πŸ“ΊUkipata tangazo letu kwenye TV, chukua picha au vid...
05/02/2026

UMEIONA EMIRATE ALUMINIUM KWENYE TV? πŸ”₯

Tupo live kwenye screen zako! πŸ“Ί
Ukipata tangazo letu kwenye TV, chukua picha au video πŸ“ΈπŸŽ₯
πŸ‘‰ Post, tutag kwenye mitandao yetu ya kijamii
na tutakurepost ❀️
Asante kwa upendo wenu zaidi ya miaka 15 ya ubora, uimara na kuaminika.

Address

Shekilango Road, Sinza Madukani
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255758900900

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Emiratealuminiumprofile posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share