Udindivu Hardware Shop - Ashuba Branch

Udindivu Hardware Shop -  Ashuba Branch Karibuni Ashuba Hardware kwa mahitaji yako ya vifaa vya ujenzi, ushauri, uwekezaji na huduma za kife

09/04/2026
Hakikisha usalama wa nyumba yako kwa door locks imara kutoka Ashuba Hardware Shop 🔐Ubora wa kudumu, muonekano wa kisasa,...
28/01/2026

Hakikisha usalama wa nyumba yako kwa door locks imara kutoka Ashuba Hardware Shop 🔐

Ubora wa kudumu, muonekano wa kisasa, na bei rafiki kwa kila nyumba 🏠
Usalama sio anasa — ni lazima. Chagua Ashuba Hardware Shop leo.

📍 Karibu dukani
📞 Wasiliana nasi kuuliza bei na kuweka oda

03/10/2025

Inapatikana katika maduka yetu.

Usikose hii! 🔌💥Multiplug ya kisasa yenye nafasi nyingi na USB mbili – chaji vifaa vyako vyote kwa urahisi na kwa wakati ...
07/08/2025

Usikose hii! 🔌💥
Multiplug ya kisasa yenye nafasi nyingi na USB mbili – chaji vifaa vyako vyote kwa urahisi na kwa wakati mmoja! Inafaa kwa nyumbani 🏠, ofisini 🖥️ au safari 🚗.
💯 Ubora wa hali ya juu.
⏳ Zimebaki chache – fanya oda sasa!

Badilisha nyumba yako kwa bei nafuu! 🔌💡Switch bora zipo! Zenye ubora wa hali ya juu na zinaendana na mtindo wa kisasa. U...
07/08/2025

Badilisha nyumba yako kwa bei nafuu! 🔌💡
Switch bora zipo! Zenye ubora wa hali ya juu na zinaendana na mtindo wa kisasa. Usikose ofa yetu ya wiki hii – punguzo maalum linakungoja!
📍Tembelea duka letu au wasiliana nasi moja kwa moja sasa!


“Kwa kujenga kwa Ubora, Jenga na Ashuba!”“Ubora wa Nyumba Huanzia na Vifaa Sahihi!”“Tunauza Ubora, Si Tu Vifaa!”Karibuni...
01/08/2025

“Kwa kujenga kwa Ubora, Jenga na Ashuba!”
“Ubora wa Nyumba Huanzia na Vifaa Sahihi!”
“Tunauza Ubora, Si Tu Vifaa!”

Karibuni Ashuba na

Karibuni kwa vifaa imara vya umeme
17/07/2025

Karibuni kwa vifaa imara vya umeme

Karibu kwa mahitaji ya vifaa vya ujenzi. Imara na vya uhakika
07/01/2025

Karibu kwa mahitaji ya vifaa vya ujenzi. Imara na vya uhakika

Address

Udindivu Near Snake Park
Bagamoyo
70

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:30
Tuesday 07:00 - 17:30
Wednesday 07:00 - 17:00
Thursday 07:00 - 17:30
Friday 07:00 - 17:30
Saturday 07:00 - 17:30
Sunday 10:00 - 15:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Udindivu Hardware Shop - Ashuba Branch posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Udindivu Hardware Shop - Ashuba Branch:

Share