12/05/2026
Hayawi hayawi huwa… 🔥
This Friday Kidani Fundi Forum ina-happen hapa Kidani Mabati Factory kuanzia 9AM – 12PM.
Mafundi sharp washaregister tayari…
ju ukweli ni aty hii si event ya kuambiwa story baadaye.
Hapa ndio unapata:
✔ Skills za kupandisha game yako
✔ Connections za kazi kubwa
✔ Goodies zenye si za mchezo
Yaani inshort…
hapa ndio unakuja kujua vile uta-level up game yako
Wewe ni fundi gani?
👉 Register hapa:
https://kidanimabati.co.ke/events/
📍 Eastern Bypass, K**akis (Near RFH Hospital)
📞 0709 118 300