Zanzibar Labour Commission-Zlc

Zanzibar Labour Commission-Zlc Ukurasa Rasmi wa Kamisheni ya Kazi Zanzibar

09/08/2023
Uongozi na Wafanyakazi wa Kamisheni ya Kazi unawatakia Heri ya Siku ya Wakulima... 🎉
09/08/2023

Uongozi na Wafanyakazi wa Kamisheni ya Kazi unawatakia Heri ya Siku ya Wakulima... 🎉

Katibu Mkuu anayeshuhulikia masuala ya Kazi na Uwezeshaji, Afisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji Bi. Maryam J. Abdulla...
09/08/2023

Katibu Mkuu anayeshuhulikia masuala ya Kazi na Uwezeshaji, Afisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji Bi. Maryam J. Abdullah akishirikiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Ndg. Khamis A. Said wamekutana na Uongozi na Wafanyakazi wa Skuli ya Streeter's Skilled School ili kulitafutia suluhisho lalamiko lililotumwa katika Mfumo wa SNR linalohusiana na kutolipwa mishahara na stahiki za walimu kwa muda wa siku 18.

📍 Streeter's Skilled Schoo Kwaalamsha Zanzibar.
🗓️ 04 /08/ 2023

Uongozi na Wafanyakazi wa Kamisheni ya Kazi inawatakia watu wote kwa ujumla Heri ya Eid el Adha
02/07/2023

Uongozi na Wafanyakazi wa Kamisheni ya Kazi inawatakia watu wote kwa ujumla Heri ya Eid el Adha

Uongozi na Wafanyakazi wa Kamisheni ya Kazi unawatakia Waislamu  wote kwa ujumla Heri ya Skukuu ya Eid el Adha.
02/07/2023

Uongozi na Wafanyakazi wa Kamisheni ya Kazi unawatakia Waislamu wote kwa ujumla Heri ya Skukuu ya Eid el Adha.

Uongozi na Wafanyakazi wa Kamisheni ya Kazi wanaungana pamoja na Wafanyakazi wote Duniani kuadhimisha Siku ya Wafanyakaz...
30/04/2023

Uongozi na Wafanyakazi wa Kamisheni ya Kazi wanaungana pamoja na Wafanyakazi wote Duniani kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani.

Uongozi na Wafanyakazi wa Kamisheni ya Kazi unaungana na Watanzania wote katika Kumbukizi ya Miaka 51 ya Kifo cha aliyek...
06/04/2023

Uongozi na Wafanyakazi wa Kamisheni ya Kazi unaungana na Watanzania wote katika Kumbukizi ya Miaka 51 ya Kifo cha aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar.

Uongozi na Wafanyakazi wa Kamisheni ya Kazi Zanzibar inawatakia Heri ya Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar, 1964 - 2023. ...
11/01/2023

Uongozi na Wafanyakazi wa Kamisheni ya Kazi Zanzibar inawatakia Heri ya Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar, 1964 - 2023. Ahsanteni.

Address

Kificho Street, Block No. 9, P. O. BOX 3308 TEL: +2552422334 70474
Zanzibar
884

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 03:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zanzibar Labour Commission-Zlc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share