25/04/2026
🚜 TAYARI MTEJA WETU WA KARATU – ARUSHA AMEJIPATIA TRACTOR YA NEW HOLLAND TT75,4WD NA JEMBE LA DISC TATU!
Hongera kwa mteja wetu wa Karatu – Arusha ambaye tayari amejipatia New Holland TT75 (4WD) pamoja na Jembe lake la Disc Tatu.
Hii ni tractor bora yenye nguvu, uimara na uwezo mkubwa wa kufanya kazi mbalimbali za kilimo kwa ufanisi mkubwa. Ni chaguo sahihi kwa mkulima anayehitaji kilimo cha kisasa na matokeo bora shambani.
🌾 New Holland TT75 (4WD) inakupa:
✔ Nguvu ya HP 75
✔ Mfumo wa 4WD kwa kazi nzito na ardhi ngumu
✔ Engine yenye Cylinder 4 kwa utendaji bora na nguvu zaidi
✔ Uwezo wa kufanya kazi na implements mbalimbali kwa urahisi
🌱 Jembe la Disc Tatu
✔ Kulima kwa kina na ufanisi mkubwa
✔ Kuandaa shamba vizuri kwa ajili ya kupanda
✔ Linafaa kwa mashamba ya ukubwa tofauti
🚜 Waweza kujipatia nawe ndugu mkulima tractor hii bora kwa kilimo cha kisasa. Usikubali kubaki nyuma wakati wengine wanaongeza uzalishaji na mafanikio kupitia New Holland.
💼 IPATE KWA MKOPO RAHISI
✔ Mkopo hadi miaka 3
✔ Kupitia Benki au EFTA
✔ Dhamana ni tractor yenyewe
📞 Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi:
0615 333 164
🔥 New Holland – Chaguo la Wakulima Wenye Maono Makubwa.