16/10/2023
Nyie wema kalelewa vibaya hivi mtu unawezaje kujibizana na mamako eti unamwambia kila mtu aishi maisha yake? wazazi kuna mda mwingine wanakera hasa wakikwambia ukweli ila anajua uchungu wa kupoteza mzazi hana baba lakin bado huyo aliye hai anashindwa kumheshim.. Fyuuu 😏