manka hardware limited

manka hardware limited Jenga na Manka, kwa ujenzi wa uhakika zaidi, na kwa gharama nafuu.

09/06/2026

Tuna mabati ya rangi ( Msouth), migongo mipana, na migongo midogo, rangi zote zipo. Call/Whatsapp 0786 483946.
Tupo Kisemvule.
Karibu Manka PROJECT & CONSTRUCTION MANAGEMENT, tunasababisha mradi utokee, kwa budget yoyote uliyo nayo wewe mteja wetu. Bei zetu ni kitongaaaa!
Karibuni sana.
.

Tuna mabati ya rangi ( Msouth), migongo mipana, na migongo midogo, zipo rangi zote. Call/Whatsapp  0786 483 946. Tupo Ki...
09/06/2026

Tuna mabati ya rangi ( Msouth), migongo mipana, na migongo midogo, zipo rangi zote. Call/Whatsapp 0786 483 946.
Tupo Kisemvule. Karibu Manka PROJECT & CONSTRUCTION MANAGEMENT, upate kilicho bora zaidi.
.

Manka PROJECT & CONSTRUCTION MANAGEMENT, inakutakia wewe na familia yako heri ya sikukuu ya EID AL - ADHA.Call/WhatsApp ...
27/05/2026

Manka PROJECT & CONSTRUCTION MANAGEMENT, inakutakia wewe na familia yako heri ya sikukuu ya EID AL - ADHA.
Call/WhatsApp 0786 483 946.
Tupo Kisemvule.

27/05/2026

Manka PROJECT & CONSTRUCTION MANAGEMENT, inakutakia wewe na familia yako heri ya sikukuu ya EID AL- ADHA.
Call/WhatsApp 0786 483946.
Tupo Kisemvule.
.

21/05/2026

Pale advertiser anaposahau script 🤪😂🤣, heee kweli hii ni behind the scene. Ila mwanzoni ametoa nondo za kweli kabisa. Manka PROJECT & CONSTRUCTION MANAGEMENT, tunazingatia kilicho bora zaidi.
Call/WhatsApp 0786 483946.
Tupo Kisemvule.
.

20/05/2026

Cement Huaxin zipo wapendwa wateja wetu.
Call/WhatsApp 0786 483 946. Tupo Kisemvule.
.

20/05/2026

MANKA PROJECT & CONSTRUCTION MANAGEMENT, ni wasambazaji na wauzaji wa Mabati. Ubora wa bati zetu ni uwepo wa ALUMINIUM na ZINK. Hivyo uimara wa bati zetu ni maridhawa. Tunayo Mabati ya migongo mikubwa IT 5, na migongo midogo yaani CORRUGATED.
Tunazo bati za geji 30 na geji 28. Bei zetu ni za Kiwandani.
Pia tunauza Accessories zote za upauaji k**a vile:
KOFIA, VALLEY, MISUMARI na CRIMPING.
Kwa kuthibitisha uimara wa bati zetu, tunatoa waranti ya miaka 10.
Tunatoa oda ya usafiri bure mpaka saiti, na hii ni nchi nzima endapo utanunua bati zaidi ya 80 na kuendelea.
Call/WhatsApp 0786 483946.
Tupo Kisemvule.
.

12/05/2026

Msouth bati tuna migongo mipana na migongo midogo. Utazipata kwetu kwa jumla na rejareja, Bei ni kitongaaaa!!!!
Call/WhatsApp 0786 483 946.
Tupo Kisemvule, karibu na stendi ya daladala.
.

Address

Kisemvule
Mkuranga

Opening Hours

Monday 07:00 - 18:30
Tuesday 07:00 - 18:30
Wednesday 07:00 - 18:30
Thursday 07:00 - 18:30
Friday 07:00 - 18:30
Sunday 07:00 - 18:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when manka hardware limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share