Dstar Power Tools

Dstar Power Tools Power Tools Specialist, Kwa Bei za kizalendo sana, Quality nzuri na Warranty ya Mwaka 1.

Tunaaminika kwa kuuza Power Tools nzuri kwa muda mrefu, tuna repair powertools na kutoa ushauri kwa mafundi

Tupo Mabibo NIT Dar Es Salaam

20/05/2026

OFFER!! OFFER!! OFFER!!

Jipatie Angle Grinder Brand ya DINGQI kwa Tzs 160,000/=

Jipatie Angle Grinder Brand ya BOSCH kwa Tzs 220,000/=

0674840600

1. Heavyduty Industrial Standard with 2000W kwa 2400W.

2. Nzuri sana kwa matumizi ya kukatia chuma na ukuta.

3. Rotation ni 6500rpm.

4. Uzito wake ni 5.8Kg.

5. Ina Warranty ya mwaka 1.

6. Mkono unaozunguka.

7. Pure Copper haitoi cheche kabisa.

8. Carbon Brush za Ziada.

9. Disc za Offer kwa Watakao Wahi.

Tupo Mabibo NIT Dar.

Call / WhatsApp 0674840600.

Karibuni Sana.

15/05/2026

Usichelewe na hii ikakupita, Mtaji wa fundi ni mashine

1. Portable Welding MMA 300 pamoja na Grinder Makita 125mm kwa 190,000/=.

2. Bosch 9" Grinder 220,000/=.

Brand za Uhakika sana.

Hizo bei ni za Offer kwa msimu tu.

Tupo Mabibo NIT Dar.

Call 0674840600.

Karibu Sana.

30/04/2026

Bonge moja la mashine.. Hizi ni Powerful Brushless Drills kwa 130,000/= Tu

0674840600

1. Charge uhakika.

2. Powerful sana inaweza funga screw kwenye vyuma na pia inatobolea ukuta.

3. Battery mbili 108V.

4. Bright Autolight inakuwezesha kufanya kazi mazingira ya kiza.

5. Ina nyundo kwa nyuma kugongea misumari na fischers ukutani.

6. Si nzito na haichoshi mkononi.

7. Bit 4 na 1 Screw Driver.

8. 1 Year Warranty.

Tupo Mabibo NIT Dar

0674840600

30/04/2026

OFFER!! OFFER!! OFFER!!

Jipatie Angle Grinder Brand ya DINGQI kwa Tzs 160,000/=

0674840600

1. Heavyduty Industrial Standard with 2000W.

2. Nzuri sana kwa matumizi ya kukatia chuma na ukuta.

3. Rotation ni 6500rpm.

4. Uzito wake ni 5.8Kg.

5. Ina Warranty ya mwaka 1.

6. Mkono unaozunguka.

7. Pure Copper haitoi cheche kabisa.

8. Carbon Brush za Ziada.

9. Disc za Offer kwa Watakao Wahi.

Tupo Mabibo NIT Dar.

Call / WhatsApp 0674840600.

Karibuni Sana.

28/04/2026

OFFER!! OFFER!! OFFER!! 0674840600

Mtaji wa Fundi ni Mashine Wakuu

Planner pamoja na stand yake kwa 130,000/=.

Trimmer Pamoja na Visu 15 kwa 130,000/=.

Jigsaw ikiwa na Toolbox pamoja na misumeno 10 kwa 120,000/=.

Mashine zote zinakuja na Offer ya Extra Tools si za kukosa.

Mashine zipo Chache na Offer ni kwa Watakao wahi.

Tupo Mabibo NIT Dar

0674840600

25/04/2026

Quality Laser Level Device (4D/16 Lines) kwa ajili ya kunyoosha TILES, DECORATIONS ALIGNMENT, FENITURES and Many more things.

0674840600

Ipo complete set (150,000/=) kwenye Toolbag yake ikiwa na:

1. Laser Level Device.

2. Wall Attachment.

3. Lifting Platform.

4. Remote Control.

5. 2 Lithium Batteries with its charger.

6. User Manual.

7. Toolbag with soft sponge for confortable storage.

0674840600

150,000/= Limited Offer.

Tupo Mabibo NIT Dar

Free Delivery in Dar.

Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana.

15/04/2026

OFFER...! OFFER...! OFFER...! Kwa watakao ziwahi kuna Disc za Offer..

Jipatie Heavyduty Angle Grinder 9" kwa 160,000/= Fullset na 70,000/= Grinder 4.5"

0674 840 600

1. Ni powerful sana kwa kazi za kukatia chuma na ukuta.

2. 2000W very powerful.

3. Ina option ya ku twist mkono wakati wa kazi.

4. Ina smart switch circuit ku regulate speed wakati wa kazi.

5. Ina soft and safety handle switch na auto lock kuhold machine wakati wa kazi.

6. Inafaa kwa site kupiga kazi za kukata ukuta na chuma kutwa nzima bila kuchemka.

7. Ina warranty mwaka 1.

Tupo Mabibo NIT Dar

0674 840 600

14/04/2026

Jipatie Portable Welding Machine MMA 300 pamoja na Grinder yake kwa 170,000/= Au 270,000/= kwa 9" Grinder Fullset vyote vimekamilika.

0674 840 600

1. Machine zinakuja Fullset zikiwa zimekamilika ukiipata ni kuchukua na kwenda kupiga kazi.

2. Welding Inachoma Stick kubwa na ndogo bila shida kabisa.

3. Welding Ina Function 3 (Arc Force, VFD na Hot Start) Ni Digital Welding inakurahisishia kaxi sana wakati wa setup ya moto na kukupa moto mzuri uutakao.

4. Mashines hizi ni Nzuri sana na Rahisi sana kutumia, Unaweza kuwa nazo ukamaliza kazi ndogo ndogo Mwenyewe Nyumbani.

5. Inachoma Low hydrogen na 7018 fresh kabisa.

6. Inauwezo wa kupiga kazi kutwa nzima bila kuchemka.

7. Inakuja na mkanda wake unaweza ibeba begani ukiwa juu sehemu ya kazi.

8. Inatumia umeme wa kawaida switch socket ya nyumbani.

9. Rahisi sana kubebeka hata kwenye begi fresh.

10. Machine zina warranty ya Mwaka 1.

Tupo Mabibo NIT Dar

0674 840 600

Karibuni Sana.

13/04/2026

Great Machines with Super Quality, 0674 840 600

Karibu sana Dstar, Tunakupatia Mashines zilizo bora sanaOutstanding Quality kwa Bei ya KizalendoTunpatikana Mabibo NIT D...
12/04/2026

Karibu sana Dstar, Tunakupatia Mashines zilizo bora sana

Outstanding Quality kwa Bei ya Kizalendo

Tunpatikana Mabibo NIT Dar

Yes You Derserve The Best

0674 840 600

Address

Mabibo Chuo, NIT
Mabibo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dstar Power Tools posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share