vetagrotz

vetagrotz Vetagro is a private owned company and our principal units are vegetable seeds, agrochemicals, veterinary drugs & equipment
📞 0777470359

FARMERZEB 80 WPFARMERZEB 80 WP Ni dawa inayozuia ukungu, kuvu kwenye mazao k**a nyanya, viazi, pilipili, kabichi, na mbo...
23/12/2021

FARMERZEB 80 WP

FARMERZEB 80 WP Ni dawa inayozuia ukungu, kuvu kwenye mazao k**a nyanya, viazi, pilipili, kabichi, na mbogamboga

TUNAUZA PEMBEJEO ZA KILIMO NA MIFUGO KWA BEI ZA JUMLA NA REJAREJA

KWA HUDUMA BORA NA UHAKIKA FIKA AU WASILIANA NASI KWA NAMBA ZIFUATAZO: 0777470359/ 0657552556/ 0657552557

AMSACAMSAC Ni kiuadudu chenye wigo mpana ambacho hufanya kazi kwa kumguso na kupitia tumboni. Huzuia funza wa vitumba ka...
20/12/2021

AMSAC

AMSAC Ni kiuadudu chenye wigo mpana ambacho hufanya kazi kwa kumguso na kupitia tumboni. Huzuia funza wa vitumba katika pamba na wadudu mbalimbali katika mbogamboga

TUNAUZA PEMBEJEO ZA KILIMO NA MIFUGO KWA BEI ZA JUMLA NA REJAREJA

KWA HUDUMA BORA NA UHAKIKA FIKA AU WASILIANA NASI KWA NAMBA ZIFUATAZO:0777470359/ 0657552557/ 0657552556



#

POWER-CRON 720ECPOWER-CRON 720EC ni kiua karina na sumutumbo cha kunyunyiza katika majani vidomozi kwenye kahawa na mbog...
18/12/2021

POWER-CRON 720EC

POWER-CRON 720EC ni kiua karina na sumutumbo cha kunyunyiza katika majani vidomozi kwenye kahawa na mbogamboga za aina mbalimbali.

VETAGRO EAST AFRICA LIMITED] TUNAUZA PEMBEJEO ZA KILIMO NA MIFUGO KWA BEI JUMLA NA REJAREJA

KWA HUDUMA BORA NA UHAKIKA FIKA VETAGRO EAST AFRICA LIMITED] AU WASILIANA NASI KWA NAMBA ZIFUATAZO: 0777470359/ 0657552556/ 0657552557

DUME 40ECDUME 40EC: ni kiua dudu jamii ya organophosphorus chenye uwezo wa kupenya na kuua kwa mguso, ina uwezo mkubwa w...
16/12/2021

DUME 40EC

DUME 40EC: ni kiua dudu jamii ya organophosphorus chenye uwezo wa kupenya na kuua kwa mguso, ina uwezo mkubwa wa kuua wadudu mbali mbali kwenye mazao k**a nyanya, viazi, kabichi, pilipili, waridi na mengineo

TUNAUZA PEMBEJEO ZA KILIMO NA MIFUGO KWA BEI ZA JUMLA NA REJAREJA

KWA HUDUMA BORA NA UHAKIKA FIKA AU WASILIANA NASI KWA NAMBA ZIFUATAZO: 0777470359/0657552556/0657552557

NUVAN 500ECNUVAN 500EC ni kuua kinachoangamiza upesi wadudu kwenye maghala ya vyakula na pia huangamiza mende, mbu, inzi...
13/12/2021

NUVAN 500EC

NUVAN 500EC ni kuua kinachoangamiza upesi wadudu kwenye maghala ya vyakula na pia huangamiza mende, mbu, inzi, na kunguni kwenye majumba.

VETAGRO EAST AFRICA LIMITED] NI WAUZAJI WA PEMBEJEO ZA KILIMO NA MIFUGO

TUNAUZA KWA BEI ZA JUMLA NA REJAREJA
KWA HUDUMA BORA NA UHAKIKA FIKA VETAGRO EAST AFRICA LIMITED] AU WASILIANA NASI KWA NAMBA ZIFUATAZO:0777470359/0657552556/0657552557

KUNG FU 5ECKUNG FU 5EC Ni dawa ya kuua wadudu kwa mguso na tumbo, Ni madhubuti kwa kuangamiza wadudu wa jamii nyingi kat...
11/12/2021

KUNG FU 5EC

KUNG FU 5EC Ni dawa ya kuua wadudu kwa mguso na tumbo, Ni madhubuti kwa kuangamiza wadudu wa jamii nyingi katika mbogamboga, Pia huua wadudu wengi katika pamba, wanaotoboa, wanaotafuna majani na kuchafua vitumba vya pamba

VETAGRO EAST AFRICA LIMITED] NI WAUZAJI WA PEMBEJEO ZA KILIMO NA MIFUGO
TUNAUZA KWA BEI ZA JUMLA NA REJAREJA

Kwa HUDUMA BORA NA UHAKIKA FIKA VETAGRO EAST AFRICA LIMITED] AU WASILIANA NASI KWA NAMBA ZIFUATAZO: 0777470359/ 0657552556/ 0657552557

Albenzodad ni dawa yenye wigo mpana yenye albendazole ndani yake, ina ufanisi mkubwa wa kutibu dhidi ya Nematodes wa kwe...
08/12/2021

Albenzodad ni dawa yenye wigo mpana yenye albendazole ndani yake, ina ufanisi mkubwa wa kutibu dhidi ya Nematodes wa kwenye utumbo, na kupumua, cestodes dhidi ya wanyama wenye matumbo manne( ruminant), hasa monezia na trematodes KWA wanyama wakubwa k**a vile F. hepatica, F.magna na dicrocoelium dendriticum.

Kwa mawasiliano zaidi 0657552556/0657552557/0777470359

Oxytetracycline (O.T.C 10%) ni dawa ya kutibu magonjwa ya Liam ulizia yanayosababishwa na bakteria chanya na bakteria ha...
06/12/2021

Oxytetracycline (O.T.C 10%) ni dawa ya kutibu magonjwa ya Liam ulizia yanayosababishwa na bakteria chanya na bakteria hasi (gram positive and gram negative) nyeti KWA oxytetracycline katika kesi ya maambukizo ya kupumua, ya marimba, ya ngozi na septic ya ngamia, ng’ombe, kondoo, mbuzi na nguruwe.

Kwa mawasiliano zaidi 0657552556/0657552557/0777470359.

’ombe

IVERMEC 1% Injection IVERMEC 1% Injection ni dawa yenye wigo mpana kwa ajili ya kudhibiti vimelea vya ndani (internal) n...
03/12/2021

IVERMEC 1% Injection

IVERMEC 1% Injection ni dawa yenye wigo mpana kwa ajili ya kudhibiti vimelea vya ndani (internal) na nje (ectoparasite) katika ng’ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, sungura, paka na kuku.

Katika ng’ombe Minho ya utumbo, minyoo ya mapafu, chawa wa kunyonya na utiriri.

Katika kondoo minyoo ya utumbo, minyoo ya mapafu n.k

Wasiliana na sisi kwa namba 0657552556/0657552557/0777470359

NUTRIDAD-T Oral liquid NUTRIDAD-T Oral liquid ni kirutubisho chenye madini na vitamin kwa ajili ya kuboresha kinga za ku...
02/12/2021

NUTRIDAD-T Oral liquid

NUTRIDAD-T Oral liquid ni kirutubisho chenye madini na vitamin kwa ajili ya kuboresha kinga za kuku na kuongeza mwitikio kwa chanjo.

Inapunguza matatizo ya miguu na kuboresha madini ya Dani na mkusanyiko wa kalsiamu ya mifupa

Ina boresha uzalishaji wa wanyama kiujumla.

Tumia -T kwa matokeo bora
Kwa mawasiliano zaidi 0657552556/ 0657552557/ 0777470359.

ENROFLOXACIN 10% ORAL SOLUTION Enrofloxacin 10% Oral Solution antibacterial yenye wigo mpana kupambana na maambukizi ya ...
30/11/2021

ENROFLOXACIN 10% ORAL SOLUTION

Enrofloxacin 10% Oral Solution antibacterial yenye wigo mpana kupambana na maambukizi ya bakteria moja au mchanganyiko, hasa kwa maambukizi yanayosababishwa na bakteria

Enrofloxacin ni nzuri dhidi ya gram chanya na gramu hasi wanaosababisha matatizo ya upumuaji,matatizo ya ngozi n.k

Enrofloxacin ni dawa ambayo inauwezo wa kutumika kwa wanyama na ndege k**a kuku n.k kutokana na changamoto za upumuaji, matatizo ya ngozi, matatizo ya Kiwele( mastitis) n.k

Kwa mawasiliano zaidi 0657552556, 0657552557/0777470359

BIOVIT-powder BIOVIT-powder ni vitamin inayotumika kuzuia na kutibu matatizo ya ini, upungufu wa madini, kupunguza vifo ...
26/11/2021

BIOVIT-powder

BIOVIT-powder ni vitamin inayotumika kuzuia na kutibu matatizo ya ini, upungufu wa madini, kupunguza vifo vya ghafla kwa kuku, kuongeza uzalishaji wa mayai pamoja na kuongeza hamu ya kula kwa kuku.

VETAGRO EAST AFRICA LIMITED]] TUNAUZA PEMBEJEO ZA KILIMO NA MIFUGO
VETAGRO EAST AFRICA LIMITED]] TUNAUZA KWA BEI ZA JUMLA NA REJAREJA
KWA HUDUMA BORA NA UHAKIKA FIKA VETAGRO EAST AFRICA LIMITED]] AU WASILIANA NASI KWA NAMBA ZIFUATAZO: 0777470359/ 0657552557/ 0657552556

Address

House Number 88, Kigogo Road
Kigogo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when vetagrotz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share