jpa aluminium

jpa aluminium WAHUSIKA WA UTENGENEZAJI
madirisha,milango,partition office,
makabati, madirisha ya Grill,nakuendelea

05/05/2026

Karibu **Paschal Aluminum and UPVC** — tunakuletea kazi za glass na aluminum zenye mwonekano wa kisasa na ubora wa hali ya juu.

Tunafanya **shower cubicles**, **glass partitions za ofisi**, **milango ya chooni isiyoathiriwa na maji**, **frameless doors**, **tinted glass**, pamoja na **balcony na balustrades** — zote zikiwa na design safi, modern na zinazodumu kwa muda mrefu.

Kila kazi tunafanya kwa ustadi mkubwa, finishing safi na ubora unaoonekana.

📍 Dar es Salaam, Mbezi Makabe
📲 Piga simu au WhatsApp: 0718 187 684

➡️Karibu jpa Aluminum work shop. ➡️Tunatengeneza madirisha ya Aluminum, upvc,milango, makabati ya jikoni, balusters. ➡️G...
02/02/2026

➡️Karibu jpa Aluminum work shop.
➡️Tunatengeneza madirisha ya Aluminum, upvc,milango, makabati ya jikoni, balusters.
➡️Gharama zetu ni nafuu sana na tunafanya kazi kwa uaminifu mkubwa sana..
➡️Popote pale tunakufikia hata mikoani tunafanya kazi.
➡️ Tunazingatia ubora na usafi wa kazi yako kwa hali ya juu.
➡️Pia tunafanya marekebisho ya madirisha yaliyochanika wavu na kuharibika.
[Maisha ni uaminifu.]

27/12/2025
Hellow wateja wetyu wa jpa Aluminum Karibuni sana kwa offer ya madirisha ya Aluminum.Tuna punguzo la bei kwa mteja ataka...
23/10/2025

Hellow wateja wetyu wa jpa Aluminum
Karibuni sana kwa offer ya madirisha ya Aluminum.
Tuna punguzo la bei kwa mteja atakayefanya kazi na sisi ndani ya daresalaam.
➡️ Aluminum cm8 square meter ni 115,000
↪️ Aluminum cm10 square meter 170,000
➡️ Upvc double glass square meter 250,000
➡️Upvc single glass square meter 200,000
↪️European sliding window square meter 400,000.
↪️ Mlango wa Aluminum Alcobody 300,000
➡️Mlango wa Aluminum kioo 280,000
➡️ Mlango wa Aluminum pvcbody 250,000
⬆️ Karibuni sana Wateja, Uaminifu ndo Maisha yetu.. Popote pale tunakufikiaa.

15/08/2025
Jpa Aluminum tunawakarisha wateja wapya kufanya kazi pamoja nasi kwa uaminifu mkubwa..Lakini tunawashukuru sana maboss w...
15/08/2025

Jpa Aluminum tunawakarisha wateja wapya kufanya kazi pamoja nasi kwa uaminifu mkubwa..
Lakini tunawashukuru sana maboss wetu ambao wanaendelea kutupa kazi kwa uaminifu.
➡️ Karibu sana tukuhudumie kwa kazi nzuri
➡️Tunahusika na utengenezaji wa madirisha ya chuma [grill ].
➡️ tunatengeneza kila aina ya mageti kwa bei nafuu kabisa.
➡️ tunakutengeneza madirisha ya Aluminum, milango, makabati , tembelea page yetu utaona vitu vingi tunavyohusika navyo.
Karibu jpa Aluminum ni sehemu sahihi ya kupendezesha nyumba yako tunawajali sana wateja wetu kwa uaminifu mkubwa.

Jpa Aluminum leo tunawaletea kazi nzuri na imara na usalama wa nyumba yako.➡️ tunatengeneza sliding gate imara kabisa.➡️...
02/08/2025

Jpa Aluminum leo tunawaletea kazi nzuri na imara na usalama wa nyumba yako.
➡️ tunatengeneza sliding gate imara kabisa.
➡️ tunatengeneza madirisha ya chuma imara na ni usalama kwa nyumba yako.
➡️ tunatengeneza balcony za chuma kwa Usama wa ngazi yako.
➡️ fimbo za pazia tunatengeneza pia.
Karibu sana mteja wetyu kwetu uaminifu ni Maisha.

JPA_ALUMINIUM ni wahusika wa utengenezaji wa madirisha yote ya Aluminum na upvc windows.✅️ tunatengeneza design tofauti ...
13/07/2025

JPA_ALUMINIUM ni wahusika wa utengenezaji wa madirisha yote ya Aluminum na upvc windows.
✅️ tunatengeneza design tofauti ya madirisha
✅️milango yote ya Aluminum
✅️ partition office
✅️ makabe ya jikoni
✅️Aluminum balcony
➡️➡️karibu tukuhudumie kwa uaminifu mkubwa sana.
➡️ lakini pia gharama zetu ni nafuu sanaa.
Tupo daresalaam mbezi.
Tupigie simu 0718187684.
⬆️ UAMINIFU NI MAISHA. 💯🙏

Karibu jpa Aluminum sehemu pekee unaweza kupata huduma zifuatazo kwa uhakika.👇👇➡️ Madirisha design yote➡️Milango design ...
12/07/2025

Karibu jpa Aluminum sehemu pekee unaweza kupata huduma zifuatazo kwa uhakika.👇👇
➡️ Madirisha design yote
➡️Milango design yote
➡️partition office
➡️Makabati ya nguo na jikoni.
➡️ tunafanya huduma za kurepair madirisha

⏩️ Karibu sana mteja wetu Uamnifu ni mkubwa sana na tunakufikia popote pale ulipo ndani daresalaam na hata nje ya daresalaam tunafika..
UAMINIFU NI MAISHA 🫡🫡

06/06/2025

2,056 Followers, 146 Following, 9 Posts

👉 karibu jpa Aluminum.➡️Tunahusika na utengenezaji wa,➡️Madirisha,milango, makabati ya nguo.➡️Makabati ya jikoni.➡️Alumi...
30/05/2025

👉 karibu jpa Aluminum.
➡️Tunahusika na utengenezaji wa,
➡️Madirisha,milango, makabati ya nguo.
➡️Makabati ya jikoni.
➡️Aluminum balcony.
➡️Partition office.
➡️Karibu tukuhudumie, tunapatikana daresalaam mbezi.
➡️Tunafanya kazi mikoa yote.
👉UAMINIFU NI MAISHA 🙏

Address

Mbezi Makabe
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when jpa aluminium posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share