24/02/2026
Embu tuambiane ukweli jamaniβ¦ πͺβ¨
Mlango mkuu k**a huu ukiwa nyumbani kwako, heshima inaongezeka au haiongezeki? π€·π½ββοΈπ₯
Grand Main Entrance Door yenye muonekano wa kisasa na classic β design inayokaribisha wageni kwa hadhi, usalama na utofauti wa kipekee.
Nasema hiviiiβ¦ k**a unajenga au unafanya finishing halafu hujafikiria kuweka mlango mkuu wa kiwango hiki, basi unajiwekea limit mwenyewe π
ππ½
Mlango mkuu si mbao tu β ni taswira ya nyumba yako, ni statement ya maisha yako.
Unique. Modern. Classic.
Kazi safi. Finishing ya kiwango cha juu.
Nawakumbusha tu β k**a unataka nyumba yako iongee kabla hujaongea wewe, weka booking mapema ππ½
π 0787 018 562 | 0754 062 577
π²