18/02/2025
Hii ni Dr Fixit Powder waterproof.
Ipo katika ujazo wa nusu kilo.
Kipimo sahihi ni nusu kilo kwa mfuko mmoja wa cement.
Faida zake
Inazuia ukuta kufyonza maji kutoka chini kuja juu ya Kuta.
Inazuia nyumba kutengeneza kreki ambazo zitakuwa njia za maji.
Inafanya zege au plasta Yako kuwa na nguvu na kushikana pamoja inakuwa k**a vitamin kwenye cement.
Ina tumika kwenye kazi zote za cement k**a vile plaster na zege ni mchanganyiko wa moja kwa moja kwenye cement.
Karibu tukuhudumie
Piga simu 0769800133 au watsap 0759800138