Mabati bora

Mabati bora MABATI BORA TZ +255 716 873 906

23/05/2026
28/04/2026

Kutoka kiwandani hadi mlangoni mwako 🏠

Kusini — order yao ya GJ28 Kigae imefika salama.

mabati bora — delivered kwa wakati, k**a tulivyoahidi.

Ndoto yako ya nyumba — sisi tunaisaidia itimie.

📞 0629 070 258
📍 Tabata Matumbi, Dar es Salaam

Tanzania ni nchi ya amani, upendo na mshik**ano. Hatupaswi kuruhusu mtu yeyote—iwe ni wa ndani au wa nje—kutuvuta kwenye...
19/12/2025

Tanzania ni nchi ya amani, upendo na mshik**ano. Hatupaswi kuruhusu mtu yeyote—iwe ni wa ndani au wa nje—kutuvuta kwenye machafuko kwa maslahi yake binafsi.

Tumeona mifano ya nchi nyingi zilizoyumbishwa kwa kisingizio cha demokrasia au rasilimali, lakini mwisho wa siku wananchi wake wameumia, wengine kupoteza ndugu zao, na nchi kuingia kwenye migogoro isiyoisha. Hilo hatulitamani kwa Tanzania.

Ni muhimu kila Mtanzania afikiri kwa kina, mara mbili kabla ya kushabikia au kuendeleza ajenda zinazoweza kuvuruga amani yetu. Amani ni mtaji wetu mkubwa—tusiupoteze kwa maneno au vitendo visivyo na busara.

Tujadiliane kwa hekima, tuheshimiane, na tulinde nchi yetu.
Tanzania kwanza. Amani kwanza.

17/11/2025

Bati ya kigae vipimo maalum

16/04/2025
18500 tu Kigae Usafiri bure mikoa yote
02/04/2025

18500 tu Kigae Usafiri bure mikoa yote

😂
21/12/2024

😂

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mabati bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share