Dstar Power Tools

Dstar Power Tools Hii page itakuwa favourable na special kwa mafundi fernishers, welding, umeme, aluminium profile, ujenzi na vifaa vya majumbani.

Tuta upload vifaa vya kazi vinavyohusiana nao kwa bei za kitanzania na kirafiki huku tukikupa favour kadri ya uwezo wetu.

05/12/2025

Hii hapa Heavyduty Digger kwa 170,000/=

0674840600

1. Powerful sana kwa kazi za ukuta, kutoboa na kutindua.

2. Inakuja fullset ikiwa na Bit 3 za kutindulia na 4 za kutobolea.

3. Ina head converter kwa ajili ya bit za kawaida.

4. Ina 1150W.

5. Hii ni kazi kazi haitakuangusha.

6. Inakuja na Warranty ya mwaka 1.

7. Inafaa sana kutindua ukuta kwabajili yabkuweka bomba za maji na umeme.

8. Nzuri kwa zege ngumu na ratio kali.

Tupo Mabibo NIT Dar

0674840600

Karibuni sana

05/12/2025

Jipatie Heavyduty hammer Drill kwa 150,000/= Fullset

0674840600

1. Inazunguka mbele na nyuma.

2. Inauwezo kwa kutindua.

3. Ina drill kawaida na nyundo pia.

4. 1250W very powerful.

5. Inatoboa mpaka bit ya 26mm.

6. Wire ni mrefu kukuwezesha kufanya kazi kwa uhuru.

7. Ina headconverter kwa ajili ya kutoboa mbao na chuma.

8. Inakuja na Warranty ya mwaka 1.

Tupo Mabibo NIT Dar

0674840600

22/11/2025

Jipatie Angle Grinder Brand ya Dingqi kwa Tzs 170,000/=

0674840600

1. Industrial grade kubwa kabisa nchi 9.

2. Heavyduty kwa matumizi ya kukatia chuma na ukuta.

3. Rotation ni 6,500rpm & 2000W

4. Uzito ni 5Kg.

5. Mkono wake ni wa kutwist.

6. Inakuja na Carbon brush za ziada.

7. Ni mashine heavy kweli kweli si ya kukosa.

8. Ina Warranty ya mwaka 1.

Tupo Mabibo NIT Dar

0674840600

17/11/2025

Jipatie Wallput Mixer kwa 120,000/=

0674840600

1. Powerful ina 1100W

2. Inauwezo wa kufunga bit za kawaida kutobolea chuma, mbao na ukuta mpaka 16mm.

3. Inachanganya Very Smooth.

Tupo Mabibo NIT Dar

0674840600

17/10/2025

Jipatie Impact Wrench 600Nm kwa 140,000/= Tu.

0674840600

1. Inafaa kwa gari ndogo na pikipiki.

2. Inauwezo wa kufunga na kufungua screw hata kwenye chuma.

3. Inakuja na Battery 2 za 128v.

4. Nakupa na Screw driver ya ziada.

5. Inakaa na charge muda mrefu.

6. Inakuja na Fast charger.

7. Inauwezo wa kufunga na kufungua screws, bolts na nati mbalimbali.

8. Ina autolight kuweza kufanya kazi mazingira ya kiza.

9. Ina torque nzuri kuitikisa nati au bolt ngumu.

Tupo Buza Tanesco

0674840600

14/10/2025

Jipatie Wood trimmer (Mini wood Router) kwa 130,000/= Tu.. set nzima pamoja na bit zake 15.

0674840600

Sifa Zake.

1. Power 1000W

2. Inatumika kuchora maua na kuchonga kona za mbao.

3. Mpya kabisa sio used.

4. Kichwa ni 6.35mm.

5. Ina kuja complete set ikiwa na visu 15 ambavyo unaweza vitumia pia kwenye Router kubwa.

6. Nakupa na carbon brushes mbili.

7. Ina Warranty ya Mwaka mmoja.

8. Rotation ni 30,000 rpm.

0674840600

Tupo Buza Tanesco Dar

Karibuni Sana.

11/10/2025

Hii hapa ya kibabe sana haina mambo mengi

Kata Chases na chuma vizito bila kutumia nguvu wala kupoteza muda kwa kutumia plasma cutter 60

Inauwezo wa kukata continously kutwa nzima inarahisisha kazi na kutumia nguvu ndogo wakuu

Usipoteze muda na gharama ya disc kutaka chuma nzito kwa grinder chukua hii

Bei ni 500,000/=

Tupo Buza Tanesco Dar

0674840600

Address

Buza Tanesco
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dstar Power Tools posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dstar Power Tools:

Share