28/04/2023
∆Upauaji Bora wa nyumba unaanza na MBAO ZILIZOKOMAA na ZENYE DAWA ORIGINAL na KARI .huu ni wakati wako wewe mteja kujipatia mbao ZILIZOKOMAA kutoka MAFINGA MSITU WA SERIKARI .
∆ zikifika sokoni tutakufanyia suprise matata ili Kuepuka kuuziwa mbuzi kwenye gunia ( yaani kuuziwa mbao zenye dawa feki , pasipo wewe kuthibitisha kua ni kweli imetibiwa na dawa sahihi.ili kesho na keshokutwa zisishambiliwe na wadudu wakati uliambiwa ni zenye dawa
1✓Suprise ya kwanza utabembea juu ya mbao ikiwa kati ya Kuta mbili na haitavunjika ni kuthibitisha juu ya ukomavu wa mbao zetu
2✓ utachagua mbao hatua Kwa hatua kuangalia inayokufaa na kuacha isiyo kifaa
3✓tutazitreate kwenye mtambo wa kuzichemsha ( hatua Kwa hatua tukiwa na wewe)
OFFER ZETU NI
~Usafiri Bure Hadi saiti kwako
~kenchi waya 2
~ misumari ya kenchi 7kg
📞0719 616 974 na 0692 753 316
Whatsapp link👉https://wa.me/message/Q53V7NC3RWRYA1
Tunapatikana buguruni CHAMA, DAR ES SALAAAM
Bei zetu ni k**a ifuatavyo
Mbao ndefu(futi 17 Hadi futi20) hizi tunauza Kwa vipimo
2*6 Kwa futi sh1150
2*4 Kwa futi sh750
2*3 Kwa futi sh560
2*2 Kwa futi sh370
Mbao fupi( futi12) hizi tunauza Kwa mbao Moja Moja
2*6 sh11000
2*4 sh6300
2*3 sh5500
2*3 sh3200
Fisha BODI
1*8 sh12000
1*10 sh18000