Bati Imara_Tz

Bati Imara_Tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bati Imara_Tz, Building Material Store, Dar es salaam, Dar es Salaam.

Karibu Moja kwa moja Kiwandani ujipatie Mabati Yanayodumu Vizazi na Vizazi"Paalako tunathamini nyumba yako"Hii ni aina y...
05/01/2023

Karibu Moja kwa moja Kiwandani ujipatie Mabati Yanayodumu Vizazi na Vizazi
"Paalako tunathamini nyumba yako"
Hii ni aina ya Veratile/aina ya kigae

Bati zetu zinaanzia futi 10 ila tunakata pia kulingana na vipimo vyako
...........................................................................................................................................................

Karibu moja kwa moja kiwandani upate bati bora na zenye uimara madhubuti kwa bei rafikiTuna bati Aina zote k**a vile1. I...
05/01/2023

Karibu moja kwa moja kiwandani upate bati bora na zenye uimara madhubuti kwa bei rafiki

Tuna bati Aina zote k**a vile
1. IT5 au Migongo Mipana
2. Corrugated au Migongo Midogo
3. Versatile au Muundo wa kigae

pia tunatoa offa mbali mbali k**a vile usafiri bure kwa wateja watakaochukua kuanzia bati 80 na kuendelea,
pia kuna offa ya misumari kilo 10 bure

Karibuni sana

_____________________________________________________________________

Wasiliana nasi: 0677 586 254/ 0785856334

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
0000

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bati Imara_Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share