25/08/2024
Kunaelimu inayo itaji mwalimu lakini pia kunaelimu ambayo wewe mwenyewe ni mwalimu pia ni mwanafunzi kwahio usiogope kujipa ✔ukipata na kijipa ✖ukokosa jifunze kila siku jisaihishe kila unapo kosea na ujipongeze na kuongeza bidii kila unapo patia mafanikio ni mimi{wewe}